Tanzanian beggars arrested in Nakuru

Pole zao, kule nchini kwao wanasema kuna ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii na kila kitu, sasa sijui mbona wanashia kuhangaika hivi hadi wanakua omba omba kwenye nchi jirani.
Acha ujinga inamaana hapa TZ hakuna wakenya! Mbona wapo wengitu tena wengi wenu ni vibaka.
 
Acha ujinga inamaana hapa TZ hakuna wakenya! Mbona wapo wengitu tena wengi wenu ni vibaka.

Ukikuta Mkenya pembezoni mwa barabara anomba omba hapo Tanzania, naomba umfukuze. Lakini kama unaongea kuhusu wanaosaka hela kwa jasho, basi itakua wivu wako tu, maana Kenya kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi na kula kwa jasho, lakini hapa tunaongea kuhusu wale wamekuja kuomba omba barabarani.
 
Pole zao, kule nchini kwao wanasema kuna ardhi kubwa, madini, vivutio vya utalii na kila kitu, sasa sijui mbona wanashia kuhangaika hivi hadi wanakua omba omba kwenye nchi jirani.
Huyo mbongo atakuwa ana unasaba wa kikenya.
 

You are all missing the point here, either deliberately or obliviously, it's true and obvious both countries have their own share of poor people. We have Kenyans beggars on the streets of Nairobi, I see them everyday, it's a normal thing to see beggars even in USA.
We even have Kenyans and Tanzanians criss-crossing the borders to go and work on some not so professional jobs.

But the situation addressed in this thread is a bit unique, we are talking about Tanzanians travelling in their hundreds to come and beg on the Kenyans streets. I mean, read the story below, a freaking number of 100 Tanzanians beggars arrested from the streets of Mombasa, just a mere one town in Kenya Kenya busts human trafficking syndicate - Xinhua | English.news.cn
 

Wewe unashangaza sana, ubishi wako hauna mantiki kabisa. Mimi kwenye pilika zangu za kikazi nimekatiza na kuingia mikoa mngi sana Kenya na Tanzania, nimeona umaskini kwa macho. Hivyo unachobisha na kuona eti kwamba Mtanzana hawezi tokea Dodoma au Shinyanga kuja kuomba omba Kenya ni kama unajitekenya tu. Tena nimewapa links za Watanzania wa kutokea Shinyanga kabisa waliokamatwa, ila mnazidi kujitoa ufahamu.

Halafu kumbuka Kenya ilichaguliwa kama nchi yenye wakarimu zaidi Africa, wewe unafikiria huko kuitana itana kaka, dada ndio ukarimu, sisi hatuitani hayo majina ya kiusanii lakini tunasaidia.
Fuata huku http://answersafrica.com/see-the-most-generous-countries-in-africa.html
 
Lakini normal police (as opposed to CID who only work on special cases) in police stations need to have better training in investigation, it will really help this country in solving slot of organised crime...
For example in this case, they were tipped off by the public, there working theory was that the beggers were being dropped off by those who run the show, very early in the morning, instead of setting up a sting operation, or staking out those location to catch the facilitators, the police go and arrest the beggers (small fish) who are the foot soldiers, don't know details about the network they just beg and give a cut to their facilitators....and then the police tell the media of their half baked investigation.... If these people get a good lawyer, theironly mistake would be guilty of being illegal immigrants' and not being part of a con.....

This is the same kind of poor investigation that police do with drug dealers, they end up arresting drug users instead of dealers... No wonder Coast police chief Nelson Marwa got sick of his own police force and told then never to arrest drug users
 
its called being polite and not mentally weak.... we are basically african "canadians" [emoji6] sarcasm
 

So according to you, do you think these people were going to Nakuru with the intentions of being beggars? Its obvious whoever convinced them to go told them there were opportunities, Musoma is a border town, and there's a big Luo community there, connect the dots, going to be beggars wasn't the intention, Its more likely they are being promised jobs/opportunities. And when i am talking about beggars, in Nairobi/Dar, i am talking people in extreme poverty and there's nothing their government(s) can do about it (no social services whatsoever), don't bring up beggars from the US into this conversation.
 

Nitamani nini beggers paradise. you are just a potential begger in waiting! Wenzako wanafunga safari ya mbali kuja Kenya vijijini hapa kuhudumu kama omba omba.ata hauna haya bwana omba omba
 
Nitamani nini beggers paradise. you are just a potential begger in waiting! Wenzako wanafunga safari ya mbali kuja Kenya vijijini hapa kuhudumu kama omba omba.ata hauna haya bwana omba omba
Umekomalia kweli haka ka issue kadoooooogo na kutaka kukakuza.

Hebu ngoja nianze kukuchambua kama karanga hapa wewe na nchi yako.
1. Huenda wewe ni mkikuyu ndiyo maana nyooodo nyingi hivyo. Maana kikuyu ndiyo kenya yote wanakamua wengine wanakula vumbi.
2. Nakushangaa sana unakomalia hao wazee ambao wanasemekana kuwa ni watanzania na kuacha. Huoni kwanza hutendei haki akili zako hizo za kikuyunism. Kwamba wenzenu kule north wanakufa kila siku na njaa. Mwisho UN wameona wawaletee mahindi ya msaada. Wakati sisi TZ mara ya mwisho kupata mahindi ya msaada tena yalikuwa ya yanga ni mwaka 1981. Na hii ni kutokana na athari ya vita.

3. Tatu jinsi unavyojishebedua mtu asiyewajua atadhani amekutana na watu wa maana. Asilimia zaidi ya 60% wakenya ni majambazi. Nadhani somo la ujambazi linafundishwa darasani. Huku TZ tunawachapa risasi kila kukicha. Akidungwa risasi ya mguu wakati akitaka kubomoa duka la mangi akiuliza kiswahili chake tu ID tayari. Hujionei huruma na kuja kumpigia magoti kaka yenu kubwa TZ.

4. Mara nyingi wakenya wakienda chooni huwa huwa hawachambi. Wanapaka tu mzigo na makaratasi au wanaacha hivyo hivyo. Baada ya kumaliza shughuli most of kenyans anatembea na mzigo wake mpaka unakauka. Akikusogelea utasikia kiharufu fulani amazing. Siwezi kuwalaumu sana huenda ni kwasababu ya funza ambao tumeelezwa wanasababisha matatizo ya akili.

Sitaki kukuchosha sana hizo nondo nne zinatosha kabisa kumrudisha nyoka kwenye shimo lake. Cheers kenyans.
 
There you go again, so typical, living in denial just to feel good temporarily. You're attempting to twist this into Musoma/Luo axis and burying your head in denial of the so many of these Tanzanians begging on our streets who come from as far as Shinyanga and deep into Tanzania.

Personally I have nothing against them, and I do help beggars on the streets without bothering about their origin as along as their physical impairment shows they can't fend for themselves. But like am saying, there is something weird about beggars travelling such long distance, all the way from their country that is blessed with everything good, to come and beg on the streets and they always keep on coming back even after being arrested and arraigned in courts.

Just the other day I heard your president wondering loudly why would a Tanzanian leave Shinyanga which is rich in minerals, and travel to Mozambique to mine there and be humiliated occasionally. Something is freaking wrong somewhere, but one thing I know, it's impossible to reason with a generation of people living in denial, a people buried in delusion. You will always twist and be political just to have that 'feel good' moment and pretend to not to hear or see.....so kwaheri
 
You trying to make a small thing big. Why don't you think of your people from turkana. Watu wanakufa kule. Hapa Tanzania mtu hawezi kufa na njaa. Juzi tu mmepata msaada wa mahindi. Nakushangaa sana kukomalia jambo lako. Sidhani hata unajua shinyanga iko wapi. Sidhani kama unajua hata culture za watanzania. Kunamaeneo TZ hakuna culture za kuomba. Huenda watu wamekuja wanasema "tunaomba kazi" nyie mkawapachika kuwa omba omba.

Tunajua media zenu zinavyokazana kuichafua TZ. Hii vita ya kiuchumi kati TZ na Kenya tunaijua. Japo nyie mnakomalia vitu vidogo vidogo sana na kuegemea kudhalilisha watu.

Sisi tunawagonga kwenye project za maana:
1. EPA haipo tena
2. Bomba la mafuta toka uganda tumewapiga
3. Juzi Mseven na wafanyabiashara wameingia makubaliana na bandari ya dar. Mizigo mingi zaidi ya uganda itaanza kupitia dar.
4. Amina Mohamed kagogwa vibaya sana na sasa hivi hasikiki tena.

Sasa nyie komalieni issue ndogo ndogo sisi tunawapiga issue kubwa kubwa.
 

This guy! So you think i am in denial about what? did i say we don't have beggars in Tanzania? nope, did i say Tanzania is rich? nope!, stop acting like Kenya is the USA and we're like Haiti. (Kenya & Tanzania are just Haiti-A1 and Haiti-A2), Kenyans are just as poor as Tanzanians.

I spend almost 1/3 of my time every year in Kenya and i know what i am talking about, These guys didn't just form a committee and say to each other "let's go be beggars in Kenya", there has to be a reason(probably somebody lied to them) why not go beg in Mwanza? is it because people in Mwanza are not kind to beggars and Kenyans are? are you implying that people in Mwanza are so poor they can't help beggars? or are you just saying that beggars in Kenya are in better conditions than beggars in other East African countries? smarten up and be reasonable dude, even from that article, it says some guys are taking these people to Nakuru. Do you think they take them to Nakuru free of charge and drop them off to be beggars? Its you who's head is buried so deep in your behind you can't even reason simple logic.

Do you think i'd feel good if it was Kenyans who were in Tanzania/any other country begging? do you think i like to see anybody so poor that they have to beg to survive? somebody should beat some sense into this guy.
 

Kiswahili kingi cha nini! njoo ufuate wenzako mwape msaada, vidole mitaandaoni kucha havisaidii. wenzako ni omba omba na sio tz, maefu ya kilomita kutoka nyumbani mwao tanzania!! amboya kulingana na wewe ni tajiri kupindukia!!!

A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested with on Wednesday night for collecting money in Embu town. Photo/KNA

A picture of Safaricom attendant Pauline Shalimo assisting William Kisumo at the Nakuru shop has been doing rounds on social media. /COURTESY


Kisumo, a father of six and a beggar along Kenyatta Avenue in Nakuru town, lost his lower limbs.

He told journalists that poverty drove him from Tanzania, adding that although he has knowledge in leather work, he has no capital to start a business.



 
Hiyo ni kauli tu ya ukarimu tuliyolelewa nayo.
Labda wewe ulitaka tutumie kauli IPI?











Kilimanjaro iko Kenya.

Ukarimu ni kutoa kama wakenya wanavyo wapa omba omba wenyu misaada barabarani.....ukarimu sio wa maneno maneno tu!...huo wenyu ni unafik tu!
 

Kenya is not like Tanganyika, NOPE ,DO NOT PUT US IN YOUR FILTHY BASKET OF AN LDC!
Tafuta pa kuficha aibu yenu.
We do not think the same,we have different priorities and our systems are totally different, so sorry!
 

You aren't as intelligent as you pretend to be.
If that was the case then you would be directing the barrel at your government,with all those minerals,green land and rivers etc.
You shouldn't even open your mouth here rather you should be very ashamed and embarrassed at your Tanganyikan leaders for letting down your people.
You are pointing your gun at the wrong person.
Hurry up and collect your beggars ,they are everywhere including in Mozambique etc....it's such a shame!
 

Wacha maneno marefu!..harakisha ukawabebe omba omba wenyu haraka upesi, mna mapanga boi hivi sasa mkawapakie ili tuondokane na uchafu na aibu mijini,mnaudhi sana nyie washenzi.
Mmboreshe nchi yenu kielimu ili mtuletee wataalamu siyo upuzi huu!
Mtapigwa hadi Msumbiji,Afrika ya Kusini hata Zambia,shukuruni Kenya huwa tunawahurumia sana nyie wanafiq!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…