Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
they don't they've been quiet all weekView attachment 755281
View attachment 755283
living in tanzania today is a keen to living in pyongyang! magufuli=Kim jong un.
I hope the likes of akina Geza Ulole REDEEMER. mulisaaa eliakeem etc have the money.
View attachment 755281
View attachment 755283
living in tanzania today is a keen to living in pyongyang! magufuli=Kim jong un.
I hope the likes of akina Geza Ulole REDEEMER. mulisaaa eliakeem etc have the money.
makes senseNi njia ya ku regulate serious and those trush bloggers. Nothing else.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ghafla Kenya tumekuwa jirani wa N.Korea. Mungu saidia.
Ndio maana Kenya civil war haiishi... Shitty bloggers wanahamasisha chuki dhidi ya makabila na mambo kibao.. Yani mnaishi kama wakimbizi kwenu, kuuana kila siku.. Hatukaki hii Tanzania.. Tunataka habari za kweli, na zilizohakikiwa.. Hatutaki na matusi pia kwenye mitandano na kudhalilisha viongozifreedom of expression mkubwa. mbona mtu akukataze??
[emoji848] [emoji848] Ila wewe, Ngoja nitakupm.JF ilikuwa raha sana, huku unamwaga mazaga yote ya jiwe, ukikutana nalo unampa “shikamoo Mzee”.
hivi junior, unafahamu kuwa wenye jf wamo kortini wakisurutishwa kutoa data ya watu wazima kama wewe?? je umeshawahii kupost kitu chochote cha kusababisha maafa nchini tz? na kama unakubaliana na hatua ya serekali ya ccm, mbona ukawa anonymous ndani ya jf? ingekuwa vyema kama ungetumia majina yako rasmi.Ndio maana Kenya civil war haiishi... Shitty bloggers wanahamasisha chuki dhidi ya makabila na mambo kibao.. Yani mnaishi kama wakimbizi kwenu, kuuana kila siku.. Hatukaki hii Tanzania.. Tunataka habari za kweli, na zilizohakikiwa.. Hatutaki na matusi pia kwenye mitandano na kudhalilisha viongozi
Ni vyema kama wangetoa ID zao hao wanaotukana na kudhalilisha viongozi wetu, chuki wanayotaka kuianzisha dhidi ya Watz ni kubwa sana na ni lazima idhibitiwe ipasavyo.. Au wewe unajifanya huoni haya yanayoendelea?? Unataka ukiamka asubuhi ukute umebaki na Kitanda tu nyumba wamekuchomea?? Au unafkiri ukianzisha chuki na ikaenea watakaoumia ni watu wa CCM tu? Maana ndio akili zenu izo watu mlionyweshwa damu za vyamahivi junior, unafahamu kuwa wenye jf wamo kortini wakisurutishwa kutoa data ya watu wazima kama wewe?? je umeshawahii kupost kitu chochote cha kusababisha maafa nchini tz? na kama unakubaliana na hatua ya serekali ya ccm, mbona ukawa anonymous ndani ya jf? ingekuwa vyema kama ungetumia majina yako rasmi.
PovuNi vyema kama wangetoa ID zao hao wanaotukana na kudhalilisha viongozi wetu, chuki wanayotaka kuianzisha dhidi ya Watz ni kubwa sana na ni lazima idhibitiwe ipasavyo.. Au wewe unajifanya huoni haya yanayoendelea?? Unataka ukiamka asubuhi ukute umebaki na Kitanda tu nyumba wamekuchomea?? Au unafkiri ukianzisha chuki na ikaenea watakaoumia ni watu wa CCM tu? Maana ndio akili zenu izo watu mlionyweshwa damu za vyama
JF ilikuwa raha sana, huku unamwaga mazaga yote ya jiwe, ukikutana nalo unampa “shikamoo Mzee”.
Achana na technology jiraniHehehe!! Aisei nimecheka sana jirani, hata unaweza kuwa naye kwenye kikao unakenua meno na kumsifiasifia huku simu ikiwa JF kisiri unatoa yako ya moyoni.