Tanzanian bloggers have only 2weeks left to register

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
IMG_20180424_124817_904.JPG

IMG_20180424_124845_897.JPG

living in tanzania today is a keen to living in pyongyang! magufuli=Kim jong un.
I hope the likes of akina Geza Ulole REDEEMER. mulisaaa eliakeem etc have the money.
 
Kwa mfano saa hii kuna mtandao mmoja wanajadili wowowo la yule binti nanilii yule aliyekufa na kuzikwa Mbeya.
Ni shidaa.

CC: YoungD
 
freedom of expression mkubwa. mbona mtu akukataze??
 
Ndio maana Kenya civil war haiishi... Shitty bloggers wanahamasisha chuki dhidi ya makabila na mambo kibao.. Yani mnaishi kama wakimbizi kwenu, kuuana kila siku.. Hatukaki hii Tanzania.. Tunataka habari za kweli, na zilizohakikiwa.. Hatutaki na matusi pia kwenye mitandano na kudhalilisha viongozi
 
hivi junior, unafahamu kuwa wenye jf wamo kortini wakisurutishwa kutoa data ya watu wazima kama wewe?? je umeshawahii kupost kitu chochote cha kusababisha maafa nchini tz? na kama unakubaliana na hatua ya serekali ya ccm, mbona ukawa anonymous ndani ya jf? ingekuwa vyema kama ungetumia majina yako rasmi.
 
Ni vyema kama wangetoa ID zao hao wanaotukana na kudhalilisha viongozi wetu, chuki wanayotaka kuianzisha dhidi ya Watz ni kubwa sana na ni lazima idhibitiwe ipasavyo.. Au wewe unajifanya huoni haya yanayoendelea?? Unataka ukiamka asubuhi ukute umebaki na Kitanda tu nyumba wamekuchomea?? Au unafkiri ukianzisha chuki na ikaenea watakaoumia ni watu wa CCM tu? Maana ndio akili zenu izo watu mlionyweshwa damu za vyama
 
Povu
 
nakuhurumia sana wewe na walio na fikra kama zako, I hope uko na $920 za kulipia blogging.
 
JF ilikuwa raha sana, huku unamwaga mazaga yote ya jiwe, ukikutana nalo unampa “shikamoo Mzee”.

Hehehe!! Aisei nimecheka sana jirani, hata unaweza kuwa naye kwenye kikao unakenua meno na kumsifiasifia huku simu ikiwa JF kisiri unatoa yako ya moyoni.
 
Achana na technology jirani
 
Back
Top Bottom