Hehehe!! Aisei nimecheka sana jirani, hata unaweza kuwa naye kwenye kikao unakenua meno na kumsifiasifia huku simu ikiwa JF kisiri unatoa yako ya moyoni.
Ghafla Kenya tukawa jirani wa N.Korea. Mungu saidia.
Vile mambo yanavyoenda, acha niseme tu kuna ishara zote kwamba mengine makubwa yapo njiani yaja.Mungu Asaidie sana tu!
Tusifike mahala watupangie vitu vya kusikiliza.
Vile mambo yanavyoenda, acha niseme tu kuna ishara zote kwamba mengine makubwa yapo njiani yaja.
Yaani kuna wale ambao wanaunga mkono maamuzi kama haya ya kupimiwa hewa?Uwezekano ni mkubwa sana jirani.
Acha tu, imagine that!Yaani kuna wale ambao wanaunga mkono maamuzi kama haya ya kupimiana hewa?
Mbona unajina fake unaogopa niniNdio maana Kenya civil war haiishi... Shitty bloggers wanahamasisha chuki dhidi ya makabila na mambo kibao.. Yani mnaishi kama wakimbizi kwenu, kuuana kila siku.. Hatukaki hii Tanzania.. Tunataka habari za kweli, na zilizohakikiwa.. Hatutaki na matusi pia kwenye mitandano na kudhalilisha viongozi
Acha tu, imagine that!
Kuna watu sijui bado wako dunia gani?!
[emoji28] [emoji23]Aisee itakuwa zile sahani za pilau zina nguvu zaidi ya sheitwan mwenyewe. [emoji38] Very pathetic, hawa ndio adui zenu nambari moja. I wish ingekuwa Kenya, Yohana angejionea mengi tu. Nalendwa, 26th??
Hahaha hatari sanaGhafla Kenya tukawa jirani wa N.Korea. Mungu saidia.
Naona mnatamani sana 26th kinuke, hiyo sahauni, hawa wapiga kelele humu ni asilimia 0.00000....1 . Ni kesho tu, ndio mtafaham tingatinga inakubalika na wabongo mob. Na wabongo tuna ubongo wa kuchambua jema na baya. Less than 24hrs.Aisee itakuwa zile sahani za pilau zina nguvu zaidi ya sheitwan mwenyewe. [emoji38] Very pathetic, hawa ndio adui zenu nambari moja. I wish ingekuwa Kenya, Yohana angejionea mengi tu. Nalendwa, 26th??
Sina roho mbaya kiasi hicho. Tz mna advantage moja kubwa. Mkiamua kujadili na kushirikiana leo hadi kusiwe na haja ya maandamano hayo mtaweza. Point imekupita kwa mbali. Hawa ni watz wenzenu na yakikosa kutokea Kesho yatatokea siku nyingine. Wewe fikiria hata kwenye nyumba yako kuna siku watoto huwa wananuna hadi wanakugomea. Kawaida kinachofata baada ya hiyo huwa ni amani ya kweli. Ingekuwa Kenya kuna wale wangekesha tangia juzi wakingoja siku hiyo. Kutoa steam ndio point.Naona mnatamani sana 26th kinuke, hiyo sahauni, hawa wapiga kelele humu ni asilimia 0.00000....1 . Ni kesho tu, ndio mtafaham tingatinga inakubalika na wabongo mob. Na wabongo tuna ubongo wa kuchambua jema na baya. Less than 24hrs.
Hahaha mambo ni [emoji91] sana. Wish you guys all the best. Expressing yourself through picketing is a basic right in any mature public discourse. Hapo ndipo mkulu wenu anapokosea. The allure of taking part in the 'illegal' is so strong even for a spectator like me right now! π Thats why demonstrators in Kenya lost the will when demonstrations lost their 'flavour', as they explained it. After president Uhuru Kenyatta allowed demonstrations and ordered the police to provide security for the participants. I will definately be tuned in Nalendwa. 'msituangushe' my dear. Don't you dare not invite me when the sh#t hits the fan. π[emoji28] [emoji23]
Wallah umenichekesha na sahani za pilau!
Yani acha tu, hii tunaweza pia kuita nguvu ya Pilau ishandayo yote! [emoji28]
Unajua hapo pa kuwa Tz ndipo panapokera zaidi, yaani mtu unaona kabisa kama vile they're taking advantage of Us jst because they can. Sidhani mbatizaji anaweza subutu na nyie.
Pathetic is the Perfect Word!
April 26th?!, of course. Trending and Flying!!!
Kwa msemo wanasema mambo ni hivi! [emoji91] [emoji91]