eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hehehe!! Aisei nimecheka sana jirani, hata unaweza kuwa naye kwenye kikao unakenua meno na kumsifiasifia huku simu ikiwa JF kisiri unatoa yako ya moyoni.
Duuu ndo MAANA sisi kizazi hiki LAZIMA masihi atukatae.