Acha kuficha uso wakati kichwa kipo wazi, deni ni deni, usianze kukwepesha ukweli. Linapotajwa deni la Kenya ni 60% ya GDP, hilo linajumlisha madeni yote, hahahahaha.Halafu usisahau external debt to gdp ratio...tuone akina nani ndio wanatanga tanga sana...wacha kupayuka tu[emoji1787][emoji1787]
Venye nimesoma Hadi nikaona umesema bado mnakopa nimeachia hapo,izo zingine ni bla bla bla .....next time tumia akili wacha kutumia kutumia maviTumia akili buda, sasa hivi tunakopa lakini sio kama anavyokopa Uhuru Kenyatta, ndio sababu linapanda kwa kasi ndogo sio kama huko kwenu, kumbuka Tanzania deni ni 36% wakati huko kwenu ni 60%, sababu kubwa ya deni la Kenya kufikia 60% ni SGR.
Hivi kama Tanzania tungekopa pesa ya SGR, Rufiji hydroelectricity, ununuzi wa ndege za ATCL na ujenzi wa Super highway toka Dar hadi Kibaha, deni lingefikia 80%. Miradi mikubwa yenye kutumia pesa nyingi, ndio inayofanya deni liongezeke kwa kasi, hiyo ndio tunalipie wenyewe, bado tunakopa katika miradi ya kati. Karibuni mjifunze jinsi tunavyodhibiti kupanda kwa kasi kwa deni la taifa.
30% ya Kenya ni kubwa kuliko 49 ya tz na 44 ya UGOMG! Kenyatta is very genius! I love this old man, and I mean it kwa sababu kama ndivyo, ina maana analea madeni ili kumdondoshea jumba bovu yule atakayefuata kwa sababu Kenyan Public Debt ni kubwa na bado linaongezeka kwa kasi! Madeni kama ya SGR, yanatokana na mradi ambao sio tu hauwezi kulipa deni bali pia unaendelea ku-generate loss!!
You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!
Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
Kwahiyo unaonea fahari kuwa na madeni makubwa ambayo mengine ni less productive kama lile deni la SGR, au?! What's wrong with you guys? Manake kama 30% debt servicing value ni kubwa kweli kweli, vipi kuhusu 70% iliyobaki?!30% ya Kenya ni kubwa kuliko 49 ya tz na 44 ya UG
Wewe si ndo yule usiyefahamu hata shareholding structure ya Safaricom halafu ukawa unafurahia hapa kwamba eti, by majority Safaricom inamilikiwa na Wakenya?! Hivi kabisa unaamini unaweza kujadili hii mada kwa weledi?! Okay, sifahamu kinajadiliwa nini ingawaje nadhani wewe ndie hufahamu! Na kama kweli unafahamu, tuambie hapa kinajadiliwa nini na fahari yenu hapo inaletwa na nini?!Hivi mnakwenda kusomea ujinga shuleni au nini, hehehe halafu hili bandiko lako la aibu naona limepokea likes na mazwazwa.
Kabisa haujui nini kinajadiliwa humu.
Hujui lolote wewe, na kama unajua sema hapa kinajadiliwa nini na fahari ya Kenya kwenye hilo suala ni nini!! Wasome hapa Wakenya wenzako wanaofahamu:-Hata wewe of all the people, nilijua utakua na elimu kidogo ya kubaini nini kinazungumziwa humu, aki ya nani nyie watu majanga, na mtachelewa sana, ujinga wenu ndio mtaji wetu, muendelee hivyo hivyo.
Kisha wanaendelea:-Kenya’s borrowing spree has increased the accumulation of new debts with signs that the country’s capacity to repay the loans could be impaired by falling revenue collections.
The total national debt exceeds over Ksh5 trillion ($50 billion) and the country has already breached key debt service to revenue ratios, with economists raising concerns on the increased proportion of commercial loans with high interest rates.
Mna mideni mikubwa, mnatenga pesa ndogo ku-service madeni huku mkisahau riba inaongezeka kwa 31% halafu bado mnaonea fahari?!Interest payment on loans is expected to increase by 31 per cent to Ksh400 billion ($4 billion) in 2018/19 from Ksh305 billion ($3.05 billion) in the revised budget of 2017/18.
30% ya GDP sio ya debt, mbona unakua mgumu kuelewa chochote humu. Sijui nani awatafsirie kwa level yenu ili muache kutia aibu.Kwahiyo unaonea fahari kuwa na madeni makubwa ambayo mengine ni less productive kama lile deni la SGR, au?! What's wrong with you guys? Manake kama 30% debt servicing value ni kubwa kweli kweli, vipi kuhusu 70% iliyobaki?!
Leta hyo link ya 60%Acha kuficha uso wakati kichwa kipo wazi, deni ni deni, usianze kukwepesha ukweli. Linapotajwa deni la Kenya ni 60% ya GDP, hilo linajumlisha madeni yote, hahahahaha.
Hawajui km kenya ndio baba yao...uwezo wa kulipa upo30% ya Kenya ni kubwa kuliko 49 ya tz na 44 ya UG
Kumbe umekurupuka 🤣 🤣🤣 , kwa sababu kama usingekurupuka, ungeona post yangu ya pili ambayo nilisema:-30% ya GDP sio ya debt, mbona unakua mgumu kuelewa chochote humu. Sijui nani awatafsirie kwa level yenu ili muache kutia aibu.
Halafu kingine, unajua 30% ya GDP yetu inawabeba nchi yenu yote.
Kwahiyo wewe ni Wakenya wenzako mnafurahia kurundika madeni ambayo yanaongezeka kwa riba ya 31%!!! What's wrong with you guys?! Anzisheni zile posts zenu za mapicha mapicha manake ndo mnaziweza zaidi lakini sio posts zinazohitaji critical analysis!!OMG! Kenyatta is very genius! I love this old man, and I mean it kwa sababu kama ndivyo, ina maana analea madeni ili kumdondoshea jumba bovu yule atakayefuata kwa sababu Kenyan Public Debt ni kubwa na bado linaongezeka kwa kasi! Madeni kama ya SGR, yanatokana na mradi ambao sio tu hauwezi kulipa deni bali pia unaendelea ku-generate loss!!
30% ya $30bln ni kubwa kuliko 49% ya $14bln..bwahahaaaKwahiyo unaonea fahari kuwa na madeni makubwa ambayo mengine ni less productive kama lile deni la SGR, au?! What's wrong with you guys? Manake kama 30% debt servicing value ni kubwa kweli kweli, vipi kuhusu 70% iliyobaki?!
Mwangalieni huyu!!! Hivi nyie watu mnaelewa kweli?! Ngoja niwarudishe shule! For raw figure, 30% ni kubwa kuliko 49% lakini pamoja na ukubwa huo, bado ina-service kiwango kidogo sana cha mkopo mliochukuwa! Mkopo ambao unaendelea ku-shoot kutokana na high interest rate! Na mnalazimika kutumia only 30% ya GDP kwa sababu, according to The Economist, kama walivyonukuliwa na Wakenya wenzenu kwamba30% ya $30bln ni kubwa kuliko 49% ya $14bln..bwahahaaa
Kwa kutumia layman language, ni kwamba uwezo wenu wa kukusanya mapato ni mdogo ndo maana mnalazimika kutumia ONLY 30% na kuwa kwenye risk ya kuendelea ku-accumulate deni year after year!!The total national debt exceeds over Ksh5 trillion ($50 billion) and the country has already breached key debt service to revenue ratios, with economists raising concerns on the increased proportion of commercial loans with high interest rates.
Kwn ya tanzania ndio hayaongezeki...[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]Kumbe umekurupuka [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] , kwa sababu kama usingekurupuka, ungeona post yangu ya pili ambayo nilisema:-
Kwahiyo wewe ni Wakenya wenzako mnafurahia kurundika madeni ambayo yanaongezeka kwa riba ya 31%!!! What's wrong with you guys?! Anzisheni zile posts zenu za mapicha mapicha manake ndo mnaziweza zaidi lakini sio posts zinazohitaji critical analysis!!
Bwahahaaaa...30% ya $30bln ni kubwa kuliko 49% ya $14bln...nn ambacho huelewi hapo sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwangalieni huyu!!! Hivi nyie watu mnaelewa kweli?! Ngoja niwarudishe shule! For raw figure, 30% ni kubwa kuliko 49% lakini pamoja na ukubwa huo, bado ina-service kiwango kidogo sana cha mkopo mliochukuwa! Mkopo ambao unaendelea ku-shoot kutokana na high interest rate! Na mnalazimika kutumia only 30% ya GDP kwa sababu, according to The Economist, kama walivyonukuliwa na Wakenya wenzenu kwamba Kwa kutumia layman language, ni kwamba uwezo wenu wa kukusanya mapato ni mdogo ndo maana mnalazimika kutumia ONLY 30% na kuwa kwenye risk ya kuendelea ku-accumulate deni year after year!!
Sisiem hua hawakopi lakini deni la taifa linaendelea kupanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pesa "yetu"Kwn ya tanzania ndio hayaongezeki...[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Joto la jiwe amesema madeni ya bongo yote yalikopwa na jakaya...hta huu msimu wa magu pia jakaya bado anaendelea kukopa...[emoji3][emoji3][emoji3]Sisiem hua hawakopi lakini deni la taifa linaendelea kupanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pesa "yetu"
Man, ikiwa unashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho hivi kuna kingine unachoweza kuelewa wewe?! Hapa hatuzungumzii raw figures, bali percentange of raw figures! Au hufahamu maana ya raw figures?! Narudia, by raw figure hiyo 30% ni pesa nyingi lakini inasaidia kuondoa little debt burden compared na anayetumia 49% hata kama kwa raw figure anaweza kuwa analipa kidogo! Yaani hapo kuna mmoja ana-struggle kuwa na clean sheet na mwingine ana-struggle kupunguza angalau kidogo ingawaje anajua kadri sehemu kubwa ya deni inavyobaki, ndivyo linaongezeka zaidi! Na mnalazimika kufanya hivyo kwa sababu, debt service to revenue collection ime-exceed!Bwahahaaaa...30% ya $30bln ni kubwa kuliko 49% ya $14bln...nn ambacho huelewi hapo sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]