Tanzanian debt service cost percentage of gdp the highest in EAC

Tanzanian debt service cost percentage of gdp the highest in EAC

Kwn ya tanzania ndio hayaongezeki...[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Hivi ule mfumo wenu wa elimu wa mtu akimaliza kidato cha IV anaenda university bado mnao?! Trust me, you guys lack something kwenye discussion za aina hii!! Anzisheni zile discussion zenu za mapicha lakini issues kama hizi zinaonekana kuwa above your pay grade!
 
Man, ikiwa unashindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho hivi kuna kingine unachoweza kuelewa wewe?! Hapa hatuzungumzii raw figures, bali percentange of raw figures! Au hufahamu maana ya raw figures?! Narudia, by raw figure hiyo 30% ni pesa nyingi lakini inasaidia kuondoa little debt burden compared na anayetumia 49% hata kama kwa raw figure anaweza kuwa analipa kidogo! Yaani hapo kuna mmoja ana-struggle kuwa na clean sheet na mwingine ana-struggle kupunguza angalau kidogo ingawaje anajua kadri sehemu kubwa ya deni inavyobaki, ndivyo linaongezeka zaidi! Na mnalazimika kufanya hivyo kwa sababu, debt service to revenue collection ime-exceed!
Wacha kuruka ruka hapa...we utanfundisha mm nn haswa...tatizo lako ni unafiki ndio unakuumiza....kukubali tu kitu kidogo bado unashindwa....

Sasa we watakaje...haya basi 49% ya $14bln ni kubwa kuliko 30% ya $30bln...bwahahaaaa...
 
Venye nimesoma Hadi nikaona umesema bado mnakopa nimeachia hapo,izo zingine ni bla bla bla .....next time tumia akili wacha kutumia kutumia mavi
Sifa ya mtu mpumbavu ni kukataa kujielimisha, wapi umesikia mtanzania alisema hatukopi?, tunachosema ni kwamba tunajenga SGR kwa pesa yetu, kitu ambacho ninyi mumekopa na muneshindwa kumalizia pale China alipowakatalia kuwakopesha.
 
Hahahahaha, unabisha hata kwenye ukweli, sema wewe deni lenu limefikia kiasi gani kabla sijakuletea link ili nikusambaratishe.
Hhhh!!!wacha kururuka hapa...[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]leta hyo 60% tuione
 
Kumbe umekurupuka 🤣 🤣🤣 , kwa sababu kama usingekurupuka, ungeona post yangu ya pili ambayo nilisema:-
Kwahiyo wewe ni Wakenya wenzako mnafurahia kurundika madeni ambayo yanaongezeka kwa riba ya 31%!!! What's wrong with you guys?! Anzisheni zile posts zenu za mapicha mapicha manake ndo mnaziweza zaidi lakini sio posts zinazohitaji critical analysis!!

Hadi hapo inabidi nikate tamaa, aisei walimu wenu wanafaa waongezewe mishahara maana mna umbumbubu wa hali isiyo ya kawaida. Humu tumejaribu kuwaelimisha Watanzania wengi lakini huwa mpo mpo tu, hamfaidiki hata siku moja. Ni dhahiri hadi hapo huna habari ya nini kinajadiliwa humu,
 
Debt service is about how you manage your debt. There are smart ways to manage debt and dumb ways to manage debt. The longer you stay in the debt, the more you pay because of interest. So it is in your best interest (no pun intended) to pay off your debt early. Keeping that in mind, let's look at the numbers.

Kenya public debt is at 63% of GDP, which is about $50 Billion. Tanzania public debt is almost half of that at 37% which in numbers is $19 Billion. Kenya Debt = $50 Billion, Tanzania Debt = $19 Billion.

Now the Tanzanian budget for this 2019/2020 is $14.5 Billion with 49.6% dedicated to servicing debt--$7.2 Billion. The Kenyan budget for 2019/2020 is $29.7 Billion with 30.5% dedicated to servicing debt--$9.05 Billion.

Assuming that the debt for each country remain fixed (which is unrealistic because of interest rates and new loans), by 2021, Tanzania will have reduced it's public debt by 38%, from $19 Billion to $11.8 Billion. Kenya on the other hand will have reduced it's public debt by only 18%, from $50 Billion to $40.95 Billion.

Assuming everything stays fix, i.e. budget, budget allocations, GDP, debt amount (which again is highly unlikely), KENYA WILL NEED 6 YEARS TO FULLY PAY OFF ITS DEBT. On the other hand, TANZANIA WILL BE ABLE TO DO IT IN LESS THAN 3 YEARS.

That's the difference between smart debt management, and dumb debt management.
 
Hehe Yaani Kwa akili zenu mnakuja hapa kubeza Tz eti wanalipa madeni yao kwa kasi kuliko kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wengi walienda shule kusomea ujinga. I cant beliece this hahahaha
Hata viongozi wao wapo hivyo, hawa jamaa vichwani ni corruption na tribalism, hawana zaidi vichwani mwao
 
Hata viongozi wao wapo hivyo, hawa jamaa vichwani ni corruption na tribalism, hawana zaidi vichwani mwao
Leo nimeshangaa sana aisee..Yaani kenyatta amewaaminisha kuwa deni likikaa bila kulipwa ni bora eti kanakwamba ni tasa halizai riba.
Yaani hawa watu akili ni vinyesi tu.
Bora magu anaendelea kusambaratisa miradi yao, SGR na Pipeline zishaa kufa..Soko kubwa la KQ ni Tz na UG hapo sasa magu akanyange kabisa
 
You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!

Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Pumba hii sio Debt to GDP Ratio..hii ni budget allocated to Debt..Masomo yenu inafaa ichunguzwe kwanza wenzako 6 wamelike hii post inamaana hawajaelewa kinachoongelewa.
 
We pay more to our creditors despite we have very small debts, but we still build big projects from our own money.

You pay less, but you still borrow more, and you can't pay for your SGR, Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
our loans are friendly with repayment Period of upto 40 years.
 
our loans are friendly with repayment Period of upto 40 years.
Angalia akili hizi za huyu mkenya😂😂😂😂.

Nyie watu mko na mavi kichwani naanza kuamini.haaaaaa🤭🤭
 
Back
Top Bottom