Kwaio kwenye budget yetu yote, asilimia 49 ndio inatumika kulipa madeni? au nimefahamu tofauti?
Hehe Yaani Kwa akili zenu mnakuja hapa kubeza Tz eti wanalipa madeni yao kwa kasi kuliko kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wengi walienda shule kusomea ujinga. I cant believe this hahahaha
Sasa hapa ndipo nnapowashangaa wakenya ama niseme mleta mada na supporters wake.Ambayo ni sawa na tir 7 na ushee.
Mwangalieni mkurupukaji mwingine huyu! Kwanza nimeanza kuzungumzia issue za debts in general na pia nikazungumzia issue ya uwezo wa bajeti yenu ku-service madeni!! Ni mburula tu anayeweza kushangilia bajeti ku-service only 30% ya deni zito linaloikabili nchini yenu! Na nimewapa hadi debt service to revenue collection ratio! Acha kukurupuka!!Pumba hii sio Debt to GDP Ratio..hii ni budget allocated to Debt..Masomo yenu inafaa ichunguzwe kwanza wenzako 6 wamelike hii post inamaana hawajaelewa kinachoongelewa.
Sasa hapa ndipo nnapowashangaa wakenya ama niseme mleta mada na supporters wake.
Yeye haoni raha kulipa madeni ya watu haraka haraka bali anataka ayavumbike tu? Haona kama kila ukilipa mkopo haraka manake mkopeshaji anakuwa na imani na wewe na kukukopesha zaidi?
Wakenye bana! 😀 haya basi kaeni na madeni muyavumbike
Tell me exactly cha maana ulichoandika kwenye huu mjadala! Lakini muhimu zaidi, jibu haya maswali niliyokuuliza. na acha kuruka ruka!Hadi hapo inabidi nikate tamaa, aisei walimu wenu wanafaa waongezewe mishahara maana mna umbumbubu wa hali isiyo ya kawaida. Humu tumejaribu kuwaelimisha Watanzania wengi lakini huwa mpo mpo tu, hamfaidiki hata siku moja. Ni dhahiri hadi hapo huna habari ya nini kinajadiliwa humu,
Funguka hapo nilipo-highlight kwa RED vinginevyo, sema tu ukweli kwamba hii mada ipo juu ya uwezo wa maarifa machache uliyonayo! Again, funguka hapo kwenye RED!Wewe si ndo yule usiyefahamu hata shareholding structure ya Safaricom halafu ukawa unafurahia hapa kwamba eti, by majority Safaricom inamilikiwa na Wakenya?! Hivi kabisa unaamini unaweza kujadili hii mada kwa weledi?! Okay, sifahamu kinajadiliwa nini ingawaje nadhani wewe ndie hufahamu! Na kama kweli unafahamu, tuambie hapa kinajadiliwa nini na fahari yenu hapo inaletwa na nini?!
Kunatofauti kubwa kati Kenya na USA. Kuanza, 70% of US public dept is owned by Americans. A full 38% is owned by the government itself. Only 29% is owned by foreign investors. Cha pili. USA wana control the world reserve currency, USD. Meaning wakiamua kuvunja the world economy wanaweza. All the Federal Reserve has to do is increase the interest rate, na thamani ya US dollar itapanda mpaka thamani za currency zingine zishuke chini sana. (Hawataki kufanya hivyo kwasababu ita effect exports zao.) Kwahio wana leverage kubwa sana. Kenya inanini? How much of the Kenyan public debt is domestically owned and how much is foreign? Pesa yenu, ina nguvu gani kwa wanaomiliki deni yenu?USA debt ni 120% so usa imefilisika? NUGU
Na hata hicho Kiingereza chenyewe mbwembwe zao ni wakikutana na Watanzania ambao, hata kwa wale (Watanzania) wanaokifahamu vizuri, hawana shobo nacho kama hawa washamba! Ajabu, Waganda ni wazuri zaidi kwenye Kiingereza kuliko Wakenya lakini huwakuti na umburula wa Wakenya wa kuonea fahari lugha ya mkoloni na ndio maana ni kawaida kabisa kufika Kampala ukakuta watu wanapiga Kiganda ingawaje Kiingereza wanakimudu vyema! Hata hivyo, siwezi ushamba na shobo za haya majamaa manake walivyo malofa walishawahi kuchukua holiday kushangilia ushindi wa Mmarekani Barack Obama kushinda urais nchini kwake!Baraza,unajua wakenya wengi hujificha katika lugha ya kiingereza,ila kiuhalisia uwezo wao wa kufikiri unatia mashaka mno[emoji16][emoji16][emoji16].
Kuna muda mtu anaweza kwambia anafurahi kuwa na deni kubwa maana ni ishara kwamba anakopesheka(ana sifa ya kukopa sababu ya GDP kubwa)[emoji2960][emoji2960][emoji2960],basi unabaki unechoka mpaka umechakaa.
Kwa ardhi ambayo karibia nusu jangwa? Tukutane baada ya miaka kumi,tukuone kama utabaki Baba wa East Africa.Hawajui km kenya ndio baba yao...uwezo wa kulipa upo
Ila ni watani zetu,licha ya kuwa washindani wetu.Hata viongozi wao wapo hivyo, hawa jamaa vichwani ni corruption na tribalism, hawana zaidi vichwani mwao
Hhhhhh!!!kwahyo na we pia unakataa au unapingaJifunze tofauti ya kutumia ratio na absolute figures, acha ujinga
Naona umeingia kumi na nane sasa...leta external debt to gdp ratio..leo lazima tujuwe nchi maskini..wanaokopa nje sana tutawajua leoHahahahaha, Hahahahaha, aibuuuuuuuuu
Hta nyerere hyo ndio ilikuwa ndoto yake...kikwete naye hvo hvo...magu naye ndio balaa zaidi...manake gap ndio linazidiKwa ardhi ambayo karibia nusu jangwa? Tukutane baada ya miaka kumi,tukuone kama utabaki Baba wa East Africa.
Achana nae hyo...ccm hoyoeeee...USA debt ni 120% so usa imefilisika? NUGU