Tanzanian developers, Software engineers tujadili hii multi billion dollar idea

Not all Algorithms are AI or Machine Learning but most forms of AI and ML use Algorithms of some kind. Hcho ulichoelezea kinaweza fanyika kwa Algorithms zisizo na AI lakini pia unaweza tumia AI kuleta more dynamic and personal recomendations kama ukipenda. I think jamaa alikua anaelezea kuwa sio kila kitu ni AI kwa kua hcho ulicho describe kinaweza fanyika bila AI
 
Sadly vijana wengi na wasomi sio wasikilizaj wa radio Mara kwa Mara, Ila watu wa kawaida Kama madereva ndo wasikilizaji radio wakubwa,
 
Wazo limekaa vyema sana ila kwanini usiwaze Global Vision Local Win maana ni vyema ukaanzia level ya hapahapa Africa[Tanzania] alafu ukajitanua kwa kuenea sehemu zingine za ulimwenguni.
Ni rahisi kuanzia juu kwenda chini kuliko kutoka chini kwenda juu.

Angalia Benja anavyoteseka na NALA yake.
 
Hapana mkuu utafiti niliofanya umebaini kuwa Kwa Tanzania vipindi vinavyoongozwa kusikilizwa sana ni vipindi vya mchana ambavyo ni vipindi vya Entertainment na wasikilizaji wakubwa ni vijana 15-35

Marekani vivyo hivyo

Sadly vijana wengi na wasomi sio wasikilizaj wa radio Mara kwa Mara, Ila watu wa kawaida Kama madereva ndo wasikilizaji radio wakubwa,
 
Dah Benja hadi namuonea huruma, Isaya Yunge Soma App chalii
Ni rahisi kuanzia juu kwenda chini kuliko kutoka chini kwenda juu.

Angalia Benja anavyoteseka na NALA yake.
 
Dah Benja hadi namuonea huruma, Isaya Yunge Soma App chalii
Tanzania ni kugumu Sana kwa mambo ya teknologia na tech product nyingi zinakua hazigusi watu mfano Benjamin Fernandes inamuia vigumu kuwachukua watu walizoea mpesa au tigo pesa na waanze kutumia NALA ni ngumu sana kuwabadilisha
 
Inaonekana ni idea nzuri sana kwa namna ulivyoielezea unfortunately sijaelewa chochote!
 
Tanzania ni kugumu Sana kwa mambo ya teknologia na tech product nyingi zinakua hazigusi watu mfano Benjamin Fernandes inamuia vigumu kuwachukua watu walizoea mpesa au tigo pesa na waanze kutumia NALA ni ngumu sana kuwabadilisha
Hiyo hupelekea kua taaluma za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…