Tanzanian developers, Software engineers tujadili hii multi billion dollar idea

Tanzanian developers, Software engineers tujadili hii multi billion dollar idea

It depends na aina ya Notification system hiyo mathalan kwa mfano system itakuwa na utambuzi wa wewe mtumiaji aina ya vipindi unavyotaka, aina ya mziki, na aina ya theme ya vipindi, sanjari na hiyo unaweza pata information ya eneo ulipo kwa kuwa system imetambua eneo hilo...tell me it has nothing to do with AI
Not all Algorithms are AI or Machine Learning but most forms of AI and ML use Algorithms of some kind. Hcho ulichoelezea kinaweza fanyika kwa Algorithms zisizo na AI lakini pia unaweza tumia AI kuleta more dynamic and personal recomendations kama ukipenda. I think jamaa alikua anaelezea kuwa sio kila kitu ni AI kwa kua hcho ulicho describe kinaweza fanyika bila AI
 
Habari za kwenu waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ya kutafuta ubillionaire katika nyanja yetu pendwa ya Technology, sasa basi leo naomba nizungumze na software developers, mobile developers na engineers mbalimbali wa maswala ya Artificial Intellience, Cloud computing na Software as Service

Dunia imetuletea Netflix, Hulu, Showmax, Amazon prime na platforms nyingi

Dunia ile ile imetuletea Deezer, Audiomack, Boomplay and other

mie C.T.U nawaletea idea ya RASA (Radio as a service anywhere)

RASA ni nini? RASA ni software as a service cloud computing platform ambayo itakuwa inaunganisha radio stations na wasikilizaji wake kwa kutumia Artificial Intelligence argorithims

yaani ni platform ambayo itakuwa imetengenezwa kwa kutumia technology tatu hizo

Platform hiyo itakuwa inafanya kazi na radio stations kwa ku transfer mawimbi hayo kutoka studio na kusafirisha kwenye cloud system yetu then msikilizaji atakuwa anasikiliza kipindi kile intantly, msikilizaji atakuwa anauwezo wa kutoa maoni ya kipindi kile kwa kutumia platform anayosikilizia na kufika moja wa moja kwa mtangazaji kwenye computer yake pale studio

AI integration itamsaidia kuweza kuweza kupata ujumbe kipindi kipindi kikikaribia kuanza, hii itawasaidia watu ambao ni wapenzi wa radio VOA ya tabora kuweza sikiliza vipindi vya VOA instnantly popote duniani alipo LIVE na kuweza kutuma ujumbe mbalimbali wa maandishi na sauti kwa studio

kutakuwa na platforms mbili for radio stations and for listerners

for radio stations ni software itakayokuwa installed kwenye computer ya studio ambapo mtangazaji atakuwa anaongea na kusikika moja kwa moja na watumiaji wa RASA for listerners kupitia simu zao za kiganjani

kwa radio stations itasaidia kwanza kuweza kusikika duniani na kwa watu wengi Zaidi lakini pia zile streamings ambazo zitakuwa zinasikilizwa na watu mbalimbali duniani ni hela kwani wanaweza kulipwa as loyalty na RASA (hii ni ishu nyingine kabisa)

kwa Tanzania hii project ni ngumu sana kuinuka na kuwa kubwa so italazimu kuhamia marekani kwa ajili ya execution ya product na kuanzisha kwa marekani lengo ni kuweza kukua kwa haraka na kwa muda mfupi

hivyo basi ili kuweza kuleta ubobezi katiika platform hii development center itafunguliwa Santa Monica, CA

why santa Monica? ikumbukwe kwamba Los Angels ndipo heart ya media technology duniani so kwa ajili ya ku acces best talent, right ventures etc ambapo kwa kuanza tutachukua ofisi katika wework co working with 10 hired engineers specialized in cloud computing, saas and AI

Hivyo basi katika kuanza tutaanza MVP katika radio stations 50 zilizopo Los Angels then tuta move kwenda maeneo mengine na miji mingine hivyo kwa kuanza tutahitaji $4M as seed investment kwa ajili ya
1) Office at we work santa monica for 1 year
2) Team and developing the platform for the
3) preliminary expenses

MVP ikifanikiwa tuta rise other venture funds with series A etc

Nakaribisha maoni
Sadly vijana wengi na wasomi sio wasikilizaj wa radio Mara kwa Mara, Ila watu wa kawaida Kama madereva ndo wasikilizaji radio wakubwa,
 
Wazo limekaa vyema sana ila kwanini usiwaze Global Vision Local Win maana ni vyema ukaanzia level ya hapahapa Africa[Tanzania] alafu ukajitanua kwa kuenea sehemu zingine za ulimwenguni.
Ni rahisi kuanzia juu kwenda chini kuliko kutoka chini kwenda juu.

Angalia Benja anavyoteseka na NALA yake.
 
Hapana mkuu utafiti niliofanya umebaini kuwa Kwa Tanzania vipindi vinavyoongozwa kusikilizwa sana ni vipindi vya mchana ambavyo ni vipindi vya Entertainment na wasikilizaji wakubwa ni vijana 15-35

Marekani vivyo hivyo

Sadly vijana wengi na wasomi sio wasikilizaj wa radio Mara kwa Mara, Ila watu wa kawaida Kama madereva ndo wasikilizaji radio wakubwa,
 
Dah Benja hadi namuonea huruma, Isaya Yunge Soma App chalii
Ni rahisi kuanzia juu kwenda chini kuliko kutoka chini kwenda juu.

Angalia Benja anavyoteseka na NALA yake.
 
Dah Benja hadi namuonea huruma, Isaya Yunge Soma App chalii
Tanzania ni kugumu Sana kwa mambo ya teknologia na tech product nyingi zinakua hazigusi watu mfano Benjamin Fernandes inamuia vigumu kuwachukua watu walizoea mpesa au tigo pesa na waanze kutumia NALA ni ngumu sana kuwabadilisha
 
Inaonekana ni idea nzuri sana kwa namna ulivyoielezea unfortunately sijaelewa chochote!
 
Tanzania ni kugumu Sana kwa mambo ya teknologia na tech product nyingi zinakua hazigusi watu mfano Benjamin Fernandes inamuia vigumu kuwachukua watu walizoea mpesa au tigo pesa na waanze kutumia NALA ni ngumu sana kuwabadilisha
Hiyo hupelekea kua taaluma za watu
 
Back
Top Bottom