Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases...‘Corona is considered a security issue, not a public health issue’

Ni vizuri wakifunga mpaka,but to remind them,covid-19 is here to stay...!!
 
Upewe taarifa ya vifo ili ufanyeje sasa,ukatambike??..
 
Ninayo majina ya madaktari 3 wanaopigania roho zao mpaka muda baada ya kuambukizwa Corona na wagonjwa kutokana na vifaa duni .
 
A
Aliupokeaga uwenyekiti SADC kwa mapambio, sifa na utukufu kumbe boga tupu lisilo na hata mbegu. Shame on Tz
 
Hiyo Kenya unayoiabudu imetofautiana vipimo na Uganda... Sitaki kugusia habar zao zingine ila mbona majuzi mpakani na Uganda walipatikana wakenya zaidi ya 8 na #covid19 ila watz wawili na hamkuileta humu...Ila hizo kelele zao za Namanga ndo umeona utumie kama reference kuonyesha huku kwetu janga ni kubwa kuliko huko...Ukweli ni kuwa wakenya wametuzidi akili,wote wanadunda na tone moja..,Halafu wanahit huku wanapojua kuna mgawanyiko,na nyie mnapokea tu na kusapoti;matokeo yake tunaonekana wajinga,na heshima yetu nje inazidi kupungua...Mtz anayetumia sources za Kenya kujaji Tz kwa sasa ni mjinga...Hakuna mtu wa taifa fulani atatumia data za taifa jingine kujaji nchi yake ilhali anajua kuna kukomoana baina ya nchi hizo.
 
Mbona waiandama Tanzania wakati American President hatofautiani na wa sisi kwa misimamo?
 
Wewe Wewe twambie umepoteza jamaa wa karibu wangapi? Na utaje majina yao na wanapoishi kama siyo mzushi!
 
Mambo mengine jamani msiwe mnatetea tu kwasababu zenu za kisiasa. Matetezi hata yasiyo ya msingi ndiyo huzaa chuki. Labda siku yakuwakuta ndiyo akili zitawakaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo mengine ya kipuuzi kupita maelezo, idadi ya wagonjwa ifichwe ili iweje!.

Hao wazungu wangehangaika na masuala yao kuliko kujifanya wao ndio viranja wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…