Tanzanian doctors to arrive in Kenya by April 2017

Tanzanian doctors to arrive in Kenya by April 2017

Wapinzani wetu hao, wanajifanya wanahurumia watu wasiokuwa na ajira halafu wakipata dili wanaanza kupinga. Siasa inawatoa watu akili, hapo akiambiwa na Mbowe madaktari waende Kenya naye atakubali.

Ndio hilo la kujitoa ufahamu, waje tu jameni tena serikali imesema waje April.
Lakini wamekatazwa wasiingie kupiga deal kitaa.
 
Fact is Rice built Danganyikans wouldn't make it a sembe built Kenyan society. Wataanza kuuliza tips kutoka patients.
 
Fact is Rice built Danganyikans wouldn't make it a sembe built Kenyan society. Wataanza kuuliza tips kutoka patients.
Actually Medicine is a beautiful thing that an idiot like you won't understand.. Tukija kwenye haya mambo please close your openings and avoid visceral toxicity,
Usituzoee kabisa. Pumb.u wewe.
 
Actually Medicine is a beautiful thing that an idiot like you won't understand.. Tukija kwenye haya mambo please close your openings and avoid visceral toxicity,
Usituzoee kabisa. Pumb.u wewe.

I am in it Idiot. You wouldn't manage the Kenyan system.See,Who is the fool now when you don't even take a minute to think of who the person is on the other side of the call. You look stupid already. I wish you well in that dark hell hole dungeon called Danganyika.
 
Kiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.

Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
The disgraceful of the highest quality
 
Hilo ndilo tatizo, ni shida sana kumuhudumia mgonjwa ambaye hataki wewe umuhudumie!
Hata pia kupata ushirikiano toka kwa fellow local doctors. These people are known for dirty games. Lazima hujuma zitakuwepo tu. Na mbaya zaidi chama kule kimesema wasubiri kwanza, wasije kipindi hiki ambacho kuna hoja ambazo ziko pending.
 
Hata pia kupata ushirikiano toka kwa fellow local doctors. These people are known for dirt games. Lazima hujuma zitakuwepo tu. Na mbaya zaidi chama kule kimesema wasubiri kwanza, wasije kipindi hiki ambacho kuna hoja ambazo ziko pending.
Ni kweli kabisa, wote tunaunga mkono suala la mtu kupata ajira, lakini sio ajira ya namna hii ambayo jamii unayoenda kuihudumia haitaki uwepo wako!
 
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1490004689024.jpg
    FB_IMG_1490004689024.jpg
    67.8 KB · Views: 44
Kenya needs the doctors and Tanzania has excess doctors, if anyone thinks they will face any discrimination they do not fully understand the Kenyan society. What needs to be quantified is the disparity between the figures of KMPDU and the ministry, is it true that we have unemployed doctors in Kenya?
 
There are no unemployed doctors in Kenya, unless on their will not to be employed, however the KMPDU may just be buying time to read between the lines. Maybe they are reading mischief in this move by the government.
 
Kiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.

Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
Maneno mabaya sana
 
Kenya needs the doctors and Tanzania has excess doctors, if anyone thinks they will face any discrimination they do not fully understand the Kenyan society. What needs to be quantified is the disparity between the figures of KMPDU and the ministry, is it true that we have unemployed doctors in Kenya?
Is it true Tanzania has excess doctors? We shouldn't play international politics with peoples health.
 
Is it true Tanzania has excess doctors? We shouldn't play international politics with peoples health.
Its doctor to patient ratio is worse but the government has failed to absorb a sizeable number into the public payroll over budgetary constraints so yes Tanzania has excess doctors
 
Muda uliotumia kuandika maneno mengi haya ungetumia kusoma issue nzima na kuelewa kwamba madaktari kwetu Kenya wameongezwa mishahara tayari, pili hatuna madaktari kitaa wasiokua na ajira. Ukijiridhisha na hayo mambo mawili utawacha kukurupuka kwa kuandika riwaya.
We sio Mkenya, ni Mcongo.
 
Hili la vurugu za mpaka wa Namanga laweza kuwa picha nyingine.
 
Back
Top Bottom