Kiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.
Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
Wapinzani wetu hao, wanajifanya wanahurumia watu wasiokuwa na ajira halafu wakipata dili wanaanza kupinga. Siasa inawatoa watu akili, hapo akiambiwa na Mbowe madaktari waende Kenya naye atakubali.
Hilo ndilo tatizo, ni shida sana kumuhudumia mgonjwa ambaye hataki wewe umuhudumie!Mimi nahofia usalama wao tu hawa watoto. Mungu akawatangulie.
Actually Medicine is a beautiful thing that an idiot like you won't understand.. Tukija kwenye haya mambo please close your openings and avoid visceral toxicity,Fact is Rice built Danganyikans wouldn't make it a sembe built Kenyan society. Wataanza kuuliza tips kutoka patients.
Actually Medicine is a beautiful thing that an idiot like you won't understand.. Tukija kwenye haya mambo please close your openings and avoid visceral toxicity,
Usituzoee kabisa. Pumb.u wewe.
The disgraceful of the highest qualityKiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.
Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
Hata pia kupata ushirikiano toka kwa fellow local doctors. These people are known for dirty games. Lazima hujuma zitakuwepo tu. Na mbaya zaidi chama kule kimesema wasubiri kwanza, wasije kipindi hiki ambacho kuna hoja ambazo ziko pending.Hilo ndilo tatizo, ni shida sana kumuhudumia mgonjwa ambaye hataki wewe umuhudumie!
Ni kweli kabisa, wote tunaunga mkono suala la mtu kupata ajira, lakini sio ajira ya namna hii ambayo jamii unayoenda kuihudumia haitaki uwepo wako!Hata pia kupata ushirikiano toka kwa fellow local doctors. These people are known for dirt games. Lazima hujuma zitakuwepo tu. Na mbaya zaidi chama kule kimesema wasubiri kwanza, wasije kipindi hiki ambacho kuna hoja ambazo ziko pending.
Kenya needs the doctors and Tanzania has excess doctors, if anyone thinks they will face any discrimination they do not fully understand the Kenyan society. What needs to be quantified is the disparity between the figures of KMPDU and the ministry, is it true that we have unemployed doctors in Kenya?
Maneno mabaya sanaKiukweli napinga sana wao kwenda huko na mkiwaona huko waingilieni kinyume na maumbile waache unafiki watulie nchini kwao.
Kenya ina madaktari ambao hawajaajiriwa kwanini wasiajiriwe ? Mkiwaona huko Mombasa nyie waleni bila mboga.
Kenya sio sehemu nzuri ya kwenda ukizingatia pia ni mwaka wa uchaguzi afu madaktari wa Kenya hawatutaki piaMimi nahofia usalama wao tu hawa watoto. Mungu akawatangulie.
Is it true Tanzania has excess doctors? We shouldn't play international politics with peoples health.Kenya needs the doctors and Tanzania has excess doctors, if anyone thinks they will face any discrimination they do not fully understand the Kenyan society. What needs to be quantified is the disparity between the figures of KMPDU and the ministry, is it true that we have unemployed doctors in Kenya?
Its doctor to patient ratio is worse but the government has failed to absorb a sizeable number into the public payroll over budgetary constraints so yes Tanzania has excess doctorsIs it true Tanzania has excess doctors? We shouldn't play international politics with peoples health.
We sio Mkenya, ni Mcongo.Muda uliotumia kuandika maneno mengi haya ungetumia kusoma issue nzima na kuelewa kwamba madaktari kwetu Kenya wameongezwa mishahara tayari, pili hatuna madaktari kitaa wasiokua na ajira. Ukijiridhisha na hayo mambo mawili utawacha kukurupuka kwa kuandika riwaya.
It is not true. I think this is MaguKenya international politics.Is it true Tanzania has excess doctors? We shouldn't play international politics with peoples health.