Tanzanian Economy is really growing Fast..No losses made in 400 govt firms.

Good Move by JPM, Hapa kenya kila siku we pump in taxpayer money to failed companies like uchumi supermarket,mumias sugar etc then loot them and repeat the cycle. Akili za kima

Wewe Geza umekosa kabisa kuelewa mada ya uzi.
The point is how badly Tanzania economy is doing that 400 state firms are recording losses.
Hapa Kenya many firms are vibrant. Zenye umetaja hapo ni the odd ones out.
 
The companies which are concerned from the report sio social securities kijana, hizo social securities are the leading investors in Tanzania they have the unspeakable fortune around the country

Kwa taarifa yako government firms zinazofanya vizuri baada ya JPM kuingia ni pamoja na

TTCL (communications)
AirTanzania (aviation)
TIC (Insurance)
TIB (real estate)
NHC (real estate)
NBC, NMB, TIB, TPB (banking)
TRC (railways)
TANAPA (natural resources)
STAMICO (mining)
Urban water suppliers
Investments from the Tanzania armed forces
National ranches
Dozens of industries
Endless lands of farming

And the list goes on and on
I think now you have what it meant
 
Kampuni zinazo ongelewa hapo ni kampuni zilizo funguliwa kufanyabiashara na kupata faida eg. telecommunication, airline, kampuni za madawa, viwanda vya serikali etc. Lazima waanze kuweka mbinu za kupata faida or risk closer and let private investors take over. Mind you serikali unataka hizo kampuni zianze kupata faida ili serikali iweze kupunguza her stake kwa kuwauzia wananchi.
 
Kama ametuharibia inakuuma nini sasa!?
Punguza hasira baba si mnashinda mkihema hapa eti Tz sio ile ya 90s? Hebu mtuonyeshe nini kimebadilika Danganyika ama ni jambo gani mmefaulu KENYA ikashindwa.
Kama ni ndege mnashrekea Karne ya 21, sisi tangu 70s( a difference of 48years).

Bandari vile vile Mombasa imezipiku zote za Tanzagiza bila kusahau Lamu port.

Hali ya uchumi unaelewa vyema tunawapiga kama mbwa msikitini yani ee ar twice your small peasantry economy. Hapo sio siri.
 
Kichaa JPM anaimaliza Tanzania kabisa...
Yeye kwa sasa ndie jizi no 1..
Kashaiba 1.5Tril na mapumbavu ya CCM yanamchekea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…