COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
- #21
kampuni za serikali zinauza madawa za kulevya?Kama wewe ni wale wauza madawa ya kulevya au meno ya tembo au wizi wa bandarini, LAZIMA uchumi wako uyumbe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kampuni za serikali zinauza madawa za kulevya?Kama wewe ni wale wauza madawa ya kulevya au meno ya tembo au wizi wa bandarini, LAZIMA uchumi wako uyumbe.
haha juzi jamii ilifungwa 1 month na bado unasupport dictatorKama ametuharibia inakuuma nini sasa!?
TrueHapa kazi tu
Tunawaombea viongozi wetu wazidi kuona pale majanga ya kuirudisha nyuma nchi yetu yalipo na kuchukua uamuzi mzuri
Magufuli oyeeeeee
Good Move by JPM, Hapa kenya kila siku we pump in taxpayer money to failed companies like uchumi supermarket,mumias sugar etc then loot them and repeat the cycle. Akili za kima
The companies which are concerned from the report sio social securities kijana, hizo social securities are the leading investors in Tanzania they have the unspeakable fortune around the countrysaa zingine state enterprise zengine hazipimwi interms of faida ya pesa bali faida ya usaidizi.... kampuni kama nssf, nhif, kra, kpa, kaa hizi ni kampuni za serekali ambazo ni sawa kuzipima interms of faida ya pesa...
Lakini kampuni kama Huduma Center.... hii hutoa huduma kwa bei nafuu au bure, sasa ukifunga kitu kama hio huko tz utakua unataka kutesa wananchi bure
Kampuni zinazo ongelewa hapo ni kampuni zilizo funguliwa kufanyabiashara na kupata faida eg. telecommunication, airline, kampuni za madawa, viwanda vya serikali etc. Lazima waanze kuweka mbinu za kupata faida or risk closer and let private investors take over. Mind you serikali unataka hizo kampuni zianze kupata faida ili serikali iweze kupunguza her stake kwa kuwauzia wananchi.saa zingine state enterprise zengine hazipimwi interms of faida ya pesa bali faida ya usaidizi.... kampuni kama nssf, nhif, kra, kpa, kaa hizi ni kampuni za serekali ambazo ni sawa kuzipima interms of faida ya pesa...
Lakini kampuni kama Huduma Center.... hii hutoa huduma kwa bei nafuu au bure, sasa ukifunga kitu kama hio huko tz utakua unataka kutesa wananchi bure
Punguza hasira baba si mnashinda mkihema hapa eti Tz sio ile ya 90s? Hebu mtuonyeshe nini kimebadilika Danganyika ama ni jambo gani mmefaulu KENYA ikashindwa.Kama ametuharibia inakuuma nini sasa!?
mswahili na hasara ni kama mavi na nzi!
what do you expecti from a Kondoo ya magufuri?haha juzi jamii ilifungwa 1 month na bado unasupport dictator