Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Tanzania we lead others following
Kenya is good for arrogance and noise
How many Universities does Tanzania have?? The number of Universities in Kenya alone outnumbers your engineers in Tanzania. Huyu jamaa amelisema hili ni kama tu yule mkuu wa jeshi la Tanzania aliyesema Jeshi la Tanzania ndilo jeshi nzito Africa, na ndilo linavifaa zaidi, hilo lilikuwa la kuaibisha sasa mwingine sahi ameota akaja na aibu ya pili!! Kumbe hizi ndoto hizimo tu humu JF ila hadi kwa viongozi wenu??
Ama ni waandishi wenu wa habari???