Tanzanian farmers will face heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange

Tanzanian farmers will face heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange

Naomba ujibu maswali yangu niliyokuuliza,usiyakwepe.

1.Kwa nini uingize issue ya vampires
(demons) and continuity of slavery katika issue ya mbegu?

2.Does it mean that demons are eventually enslaving us through the seed industry?
Wewe unataka nikujibu maswali yako tu, hutaki kujibu yangu?

Ujinga gani huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna lolote,hutaki kujibu kwa kuwa unajua majibu yako yatakutambulisha wewe ni nani.
Mimi ni nani na unajuaje mimi ni nani?

Wewe unataka mimi nikujibu wewe tu, wewe hutaki kunijibu mimi, sawa hiyo?
 
Mimi ni nani na unajuaje mimi ni nani?

Wewe unataka mimi nikujibu wewe tu, wewe hutaki kunijibu mimi, sawa hiyo?
Najua wewe ni nani kwa sababu ya matendo yako.Biblia inasema mtawajua kwa matendo yao!
 
Mimi ni nani?

Biblia imeruhusu utumwa, wewe nawe unakubali utumwa?
Mungu aliruhusu utumwa wakati wa Agano la Kale,ambapo aliziita nyakati hizo nyakati za ujinga na akasema alijifanya kama haoni.Sasa lakini baada ya Bwana Yesu kuangikwa mtini,kufa na kufufuka,ameamuru tusifanye uovu kama huo tena, kama kuwafanya wengine watumwa,na kama tukifanya uovu,basi tutubu uovu wetu,na kwa kuwa yeye ni wa neema na fadhili,atatusamehe uovu wetu wote na kusahau kabisa.
 
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao utumwa haupo na hauwezekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao utumwa haupo na hauwezekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utumwa sio mpango wa Mungu kama ilivyo sheria ya Musa.Sheria ya Musa na hivyo utumwa viliingizwa ili wanadamu waone umuhimu wa kuwekwa huru mbali na Sheria ya Musa kwa ukombozi ulio katika Kristo Yesu.

Naomba sasa turudi kwenye mada.
 
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao utumwa haujulikani na hauwezekani kuwepo?

Hujajibu swali hili.

Kwani Mungu alishindwa kuwafanya watu waone umuhimu wa kuwekwa huru bila ya utumwa kuwapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuelewi Kiranga unashangilia au?Maana avatar yako inaonyesha wazi your affiliation.
Hukumuelewa Kiranga vizuri, nilivyoelewa hiyo nyimbo Babylon System is the Vampire sucking the blood of sufferers deceiving the people continually wa Bob Marley anamaanisha kuna Mnyonyaji (Superpowers) na Mnyonywaji(Africa)...
Hivyo alikuwa anakuambia ni system ya Kinyonyaji na inapitishwa kwa njia mbalimbali ,kama vile kidini, Brainwashing education

Kiranga bwana mambo yake hayajakaa vizuri ndio maana nam-suspect sana.
 
Mkuu this is great victory for Monsanto,Syngenta and the like.Jamaa hawa finally wamefanikiwa katika mikakati yao ya muda mrefu ya kum-strangle mkulima mdogo ambaye wamekuwa wakilalamika kwamba wanashindwa kumweka kwenye himaya yao kwa kuwa yuko too independent.After all ni mkulima yupi mdogo dogo atakayeweza kununua mbegu kila mwaka?

Sasa naona wakiweza kwa urahisi kabisa kuingiza GMOs na mambegu yao ya mwaka mmoja yenye terminator genes!Hii ni bahati mbaya sana kwa wakulima wadogo dogo na kwa afya zetu.Tunakokwenda siko na ni giza totoro.

haya ndio mavitu nilitgema Magufuli angedili nayo, hakika GMO no janga la kitaifa.
 
Hivi mkulima amelazimishwa kununua gmo seeds? Hapana yupo huru kabisa kuendela kuzalisha mbegu tulizorithi kwa mababu.

Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili.
 
haya ndio mavitu nilitgema Magufuli angedili nayo, hakika GMO no janga la kitaifa.
Hakika GMOs ni janga la taifa mkuu.Lakini ili tusiwe na GMOs kabisa,ni lazima kuwa na seed sector ambayo inasimamiwa na serikali 100%.Vinginevyo makelele yote kuhusu GMOs yatakuwa ni bure.Ni hivi majuzi tu serikali ilipiga marufuku utafiti wa GMOs.Hata hivyo kupitishwa kwa Sheria hii kunaiweka nchi yetu kwenye reverse gear,kwa kuwa sasa itakuwa rahisi zaidi makampuni ya mbegu kuingiza mbegu au kuzalisha mbegu wanazotaka.Sioni uwezekano katika hali hii serikali kuweza kudhibiti wuingizwaji au uzalishwaji wa mbegu zisizofaa kwa mfano GMOs nk.Nyani kakabidhiwa shamba la Miwa.
 
Back
Top Bottom