Huwezi kujibu maswali kwa sababu unaogopa majibu yako yatakuumbua kwamba hujui unachoandika?Unauliza za obvius.Swali lako ni kama kumuuliza mtu kama unamacho,huku ukijua wazi kabisa kwamba unayo.
Mwisho sitakuambia avatar yako ina signify nini kwa kuwa unajua.
Wewe unataka nikujibu maswali yako tu, hutaki kujibu yangu?Naomba ujibu maswali yangu niliyokuuliza,usiyakwepe.
1.Kwa nini uingize issue ya vampires
(demons) and continuity of slavery katika issue ya mbegu?
2.Does it mean that demons are eventually enslaving us through the seed industry?
Ya kwako hayahitaji majibu kwa kuwa unajua majibu unayo.Wewe unataka nikujibu maswali yako tu, hutaki kujibu yangu?
Ujinga gani huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona maswali yako hayana uhusiano na nilichoandika?Huwezi kujibu maswali kwa sababu unaogopa majibu yako yatakuumbua kwamba hujui unachoandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ya kwako hayahitaji majibu kwa sababu huna uwezo wa kuelewa majibu.Ya kwako hayahitaji majibu kwa kuwa unajua majibu unayo.
Hamna lolote,hutaki kujibu kwa kuwa unajua majibu yako yatakutambulisha wewe ni nani.Na ya kwako hayahitaji majibu kwa sababu huna uwezo wa kuelewa majibu.
Ushajitungia habari zako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani na unajuaje mimi ni nani?Hamna lolote,hutaki kujibu kwa kuwa unajua majibu yako yatakutambulisha wewe ni nani.
Mimi ni nani?Najua wewe ni nani kwa sababu ya matendo yako.Biblia inasema mtawajua kwa matendo yao!
Mungu aliruhusu utumwa wakati wa Agano la Kale,ambapo aliziita nyakati hizo nyakati za ujinga na akasema alijifanya kama haoni.Sasa lakini baada ya Bwana Yesu kuangikwa mtini,kufa na kufufuka,ameamuru tusifanye uovu kama huo tena, kama kuwafanya wengine watumwa,na kama tukifanya uovu,basi tutubu uovu wetu,na kwa kuwa yeye ni wa neema na fadhili,atatusamehe uovu wetu wote na kusahau kabisa.Mimi ni nani?
Biblia imeruhusu utumwa, wewe nawe unakubali utumwa?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao utumwa haupo na hauwezekani?Mungu aliruhusu utumwa wakati wa Agano la Kale,ambapo aliziita nyakati hizo nyakati za ujinga na akasema alijifanya kama haoni.Sasa lakini baada ya Bwana Yesu kuangikwa mtini,kufa na kufufuka,ameamuru tusifanye uovu kama huo tena, kama kuwafanya wengine watumwa,na kama tukifanya uovu,basi tutubu uovu wetu,na kwa kuwa yeye ni wa neema na fadhili,atatusamehe uovu wetu wote na kusahau kabisa.
Utumwa sio mpango wa Mungu kama ilivyo sheria ya Musa.Sheria ya Musa na hivyo utumwa viliingizwa ili wanadamu waone umuhimu wa kuwekwa huru mbali na Sheria ya Musa kwa ukombozi ulio katika Kristo Yesu.Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao utumwa haupo na hauwezekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali.Utumwa sio mpango wa Mungu kama ilivyo sheria ya Musa.Sheria ya Musa na hivyo utumwa viliingizwa ili wanadamu waone umuhimu wa kuwekwa huru mbali na Sheria ya Musa kwa ukombozi ulio katika Kristo Yesu.
Naomba sasa turudi kwenye mada.
Hukumuelewa Kiranga vizuri, nilivyoelewa hiyo nyimbo Babylon System is the Vampire sucking the blood of sufferers deceiving the people continually wa Bob Marley anamaanisha kuna Mnyonyaji (Superpowers) na Mnyonywaji(Africa)...Sikuelewi Kiranga unashangilia au?Maana avatar yako inaonyesha wazi your affiliation.
Kiranga bwana mambo yake hayajakaa vizuri ndio maana nam-suspect sana.Hukumuelewa Kiranga vizuri, nilivyoelewa hiyo nyimbo Babylon System is the Vampire sucking the blood of sufferers deceiving the people continually wa Bob Marley anamaanisha kuna Mnyonyaji (Superpowers) na Mnyonywaji(Africa)...
Hivyo alikuwa anakuambia ni system ya Kinyonyaji na inapitishwa kwa njia mbalimbali ,kama vile kidini, Brainwashing education
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu this is great victory for Monsanto,Syngenta and the like.Jamaa hawa finally wamefanikiwa katika mikakati yao ya muda mrefu ya kum-strangle mkulima mdogo ambaye wamekuwa wakilalamika kwamba wanashindwa kumweka kwenye himaya yao kwa kuwa yuko too independent.After all ni mkulima yupi mdogo dogo atakayeweza kununua mbegu kila mwaka?
Sasa naona wakiweza kwa urahisi kabisa kuingiza GMOs na mambegu yao ya mwaka mmoja yenye terminator genes!Hii ni bahati mbaya sana kwa wakulima wadogo dogo na kwa afya zetu.Tunakokwenda siko na ni giza totoro.
Hivi mkulima amelazimishwa kununua gmo seeds? Hapana yupo huru kabisa kuendela kuzalisha mbegu tulizorithi kwa mababu.
Hakika GMOs ni janga la taifa mkuu.Lakini ili tusiwe na GMOs kabisa,ni lazima kuwa na seed sector ambayo inasimamiwa na serikali 100%.Vinginevyo makelele yote kuhusu GMOs yatakuwa ni bure.Ni hivi majuzi tu serikali ilipiga marufuku utafiti wa GMOs.Hata hivyo kupitishwa kwa Sheria hii kunaiweka nchi yetu kwenye reverse gear,kwa kuwa sasa itakuwa rahisi zaidi makampuni ya mbegu kuingiza mbegu au kuzalisha mbegu wanazotaka.Sioni uwezekano katika hali hii serikali kuweza kudhibiti wuingizwaji au uzalishwaji wa mbegu zisizofaa kwa mfano GMOs nk.Nyani kakabidhiwa shamba la Miwa.haya ndio mavitu nilitgema Magufuli angedili nayo, hakika GMO no janga la kitaifa.
Mtihani kweli.Tunapoteza urithi wetu huku wenzetu wanazihifadhi kwenye seed banks.Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili.
Tatizo ni kwamba huruhusiwi kuwauzia wakulima wenzako au kuwasambazia na hiyo in a long run itaziondoa hizo mbegu za asili kwenye mzunguko.Hivi mkulima amelazimishwa kununua gmo seeds? Hapana yupo huru kabisa kuendela kuzalisha mbegu tulizorithi kwa mababu.