Tanzanian Government accuses American evangelist, Dr. Dana Morey, of promotion of same-sex relationships

Tanzanian Government accuses American evangelist, Dr. Dana Morey, of promotion of same-sex relationships

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Dr. Morey is an international evangelist known for hosting massive Christian revival events across East Africa.

He has conducted crusades in several Tanzanian cities, including Mbeya, Iringa, Shinyanga, and Morogoro.

Homosexuality is illegal in Tanzania, and the country has strict laws governing such behavior.

IMG_3055.jpeg


According to reports from the UYUI FM Radio (UFR), the Regional Commissioner of Tabora, Paul Chacha interpreted the multicolored fingers as "rainbow" indicators of same-sex relationships (LGBTQ+).

Suspension of Gospel Meeting: Tabora Regional Commissioner, Paul Chacha officially suspended a major gospel crusade scheduled for March 19–22, 2026, which was to be led by
Dr. Dana Morey.

Allegations of Pro-LGBTQ+ Promotion: Authorities claimed that the team was distributing soccer balls and leaflets to schools that contained symbols and colors they deemed contrary to Tanzanian law and cultural values regarding gender and relationships.

Expulsion Order: The regional government ordered the organizers to leave the Tabora region immediately and remove all promotional banners from the streets, stating that the materials aimed at students contained "suspicious messages."

IMG_3053.jpeg

IMG_3054.jpeg


The "hand sign" became a flashpoint for a crackdown on perceived LGBTQ+ advocacy within the country's religious and educational sectors.
 
Wanamchafua tu kwanini rangi mchanganyiko iitwe ushoga? Ina maana haturuhusiwi tena kuweka rangi mchaganyiko eti ushoga this is insanity.

Kama wanapambana na ushoga mbona hawa kina uncle T au lokole hawajawahi kupigwa stop kwenye media.

Hawa jamaa wamefanya mkutano shinyanga mbona hatukusikia kesi za ushoga
 
So what akiwa RC? kwamba ndio anajua kila kitu? Huyo aseme tu hawakumpa bahasha ndio maana kawaletea noma ila hakuna ushoga wowote hapo maana content ya ndani ni injili tu hapo nje ni rangi tu ndio imeleta kelele.
RC ana INTELIJENSIA KALI sana. 🤣
 
Sitetei jambo lolote baya lkn kabla ya kutuhumu hizo rangi alipaswa kuwaita mezani kujua misingi yao, kama huyo aliemwalika Ana kanisa lake inabidi aende kujua mienendo yao lkn kutoa tuhuma bila kushirikisha wahusika haipo sawa.

Kuna siku hata hawa mtakuja kuwaunganisha nao
rasta-man-portrait-stockcake.jpg
 
Kutoka kwa RC? haishangazi…… hata anvyojenga hoja tu ni utata mtupu. Unajiuliza huyu ni mtoto au mtu mzima.

Hiyo form anayoisema ni ya consent, probably inajazwa na mzazi au mlezi au mwalimu sababu mtoto haruhusuwi kutoa consent, wameuliza wakaambiwa watoto ndio waliotakiwa wajaze?

Rangi zinatatizo gani?
 
Dana morey hajaanza leo kuhubiri injili tanzania, kahubiri miji mingi hatujaona viashiria vya ushoga. Mikutano yake inajaza nyomi kubwa kina egon falk wakasome.

Hizi rangi za upinde wa mvua zimekuwa zikiwachanganya wenye akili ndogo wakidhani ni alama ya ushoga. Upinde wa mvua ni spectrum colour, ni tofauti na ile bendera ya kushadidia mapenzi ya jinsia moja.

Kuanza kutafsiri rangi vibaya huo ni ukosefu wa akili
 
Ila kina Dana Morey wana hela na zawadi kubwakubwa za kugawa bure, kuna pikipiki, simu kali, baiskeli na vitu vingine vya bei kubwa watu wanapewa huko wakishindanishwa kwa kuponi.

Ile timu yake wakinunua hata ndizi mbivu za kula mitaani mbili tatu, wakitoa elfu kumi chenji hawachukui wanakuambia baki nayo, wana hela za kumwaga!

Mikutano yao ni mikubwa, wanakusanya karibia madhehebu yote yenye imani kama yao
 
Balozi wa Marekani kapata habari kuwa raia wao mhubiri wa injili kapata tahshishi huko Tabora Tanzania?
 
Morey ndiye mrithi wa kazi za Bonke, mambo ya upinde yanaingiaje hapo?
 
Wanaume wengi tu blind in colour. Lakini rangi hizo katika kipeperushi sioni kama zinafanana na zile za upinde wa mvua.

Ujumbe wa Maisha Mapya si mgeni masikioni mwa watu wengi wenye imani thabiti. Mimi kwa upande wangu natafsiri ni kuacha kutenda dhbmbi na kutii amri za Mungu.

Sasa huyu Governor kuibuka na suala la ushoga sijui kalitoa wapi!? Ushoga na mashoga ni uovu mkubwa mbele ya Bwana, na wahusika wanapaswa kuacha mara moja na Kuanza Maisha Mapya yenye kuutukuza utukufu wa Mungu.
 
Wanaume wengi tu blind in colour. Lakini rangi hizo katika kipeperushi sioni kama zinafanana na zile za upinde wa mvua.

Ujumbe wa Maisha Mapya si mgeni masikioni mwa watu wengi wenye imani thabiti. Mimi kwa upande wangu natafsiri ni kuacha kutenda dhbmbi na kutii amri za Mungu.

Sasa huyu Governor kuibuka na suala la ushoga sijui kalitoa wapi!? Ushoga na mashoga ni uovu mkubwa mbele ya Bwana, na wahusika wanapaswa kuacha mara moja na Kuanza Maisha Mapya yenye kuutukuza utukufu wa Mungu.
Huyo RC kakurupuka akiamini atamfurahisha mfalme.

Mwinjilisti kumaliza Mkutano Shinyanga wiki hii na amekuja Tabora alafu eti RC anasema anahamasisha Ushoga.

Pumbavu zake.
 
Sasa kivipi pia tunadhani moja kwa moja kuwa RC hana ushahidi wa kutosha kwa kile alichokifanya ?
 
Mimi siungi mkono vitendo vya ushoga! Ila nimepata ukakasi kuhusu shutuma za hiyo kamati ya ulinzi na usalama inayo ongozwa na huyo RC.

Naona kama hoja zao hazijajitosheleza.
 
Mkulunga wa Tabora kachemka.

Ujumbe wa maisha mapya umemchanganya akadhani maisha mapya ni ushoga.

Maisha mapya huyo mhubiri anamaanisha ni maisha mapya ya wokovu, kuokoka na kuachana na maisha ya kale ya dhambi. Ni kuacha dhambi na kuishi maisha mapya ya wokovu katika Kristu.

Huyo mkulunga sijui anasali dhehebu gani kiasi kwamba hajui maana ya maisha mapya yanayohubiriwa na wahubiri wa injili. Mbona ana jina Kikristo kwa nini hajui maisha mapya? Angekuwa muislam tungesema hajui maana ya maisha mapya yanayohubiriwa katika mikutano ya injili
 
Back
Top Bottom