Tanzanian gov’t demanding Ksh1M to release 36 Kenyan fishermen

Walitegemea nini? Hii ni serikali ya watekaji buana, kesho watawatupa pale kwenye boda wakati wa giza totoro la usiku wa manane.
 
Sasa hata wakipeleka hizo millioni watamaliza saa ngapi kuhesabu....na vile wanatumia Kiswahili mingi, ati "Elufu moja mia mbili na ishirini na moja, mia sita elfu mia tano na thelathini na nane, milioni moja mia tatu elfu"
SAITAAAN![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pumbavu kabisa [emoji23]
Mia sita elf mia tano, hakuna hiyo hela, labda umeitoa toka kwa tobo la matakoni kwako.
 
TZ govt has become like the Somali Pirates. WTF.
 
2Hell na hizo maneno mingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwana mnasoma hotuba
Pumbavu kabisa [emoji23]
Mia sita elf mia tano, hakuna hiyo hela, labda umeitoa toka kwa tobo la matakoni kwako.
 
Poa mi nakupenda nataka nje nai nkutolee mahali nkuoe
Ukitaka kuruka agana na nyonga.
Jiandae kwa ndondi hawa wanawake wa Kenya ukileta ujinga ni ngumi kwenda mbele hawanaga utani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…