Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
sad[emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sad[emoji848][emoji848][emoji848]
Lazima watoswe? Huyo dikteta wenu ametuzoea sanaBaby iyo ni fain tumewatosa mashemeji baada ya kuvunja sheria
Sio yeye ni sheria mbona angekua yeye angewasamehe babyLazima watoswe? Huyo dikteta wenu ametuzoea sana
OkSio yeye ni sheria mbona angekua yeye angewasamehe baby
Usijali kama shemeji yupo nambie nikamsaidie kulipa siunajua nnavyokupenda shida yako yangu
Nitachunguza kama yupo nikujuze. Tayarisha helaUsijali kama shemeji yupo nambie nikamsaidie kulipa siunajua nnavyokupenda shida yako yangu
Poa mi nakupenda nataka nje nai nkutolee mahali nkuoeNitachunguza kama yupo nikujuze. Tayarisha hela
Wacha hiyo pesa waitoe kwa ile aid tuliwapatia wakati meli yao ilizama.That's a penalty just like one charged towards our fishermen arrested Mombasa!
Au tuwapige risasi? Ila kwa kuwa hizo hela tunashida nazo lipeni mwendeHawa watu wamefilisika kweli na wanatafuta hela kwa njia isiyo halali. A very poor nation indeed
Ushaiita aid, ilishatumika ile.Wacha hiyo pesa waitoe kwa ile aid tuliwapatia wakati meli yao ilizama.
Pumbavu kabisa [emoji23]Sasa hata wakipeleka hizo millioni watamaliza saa ngapi kuhesabu....na vile wanatumia Kiswahili mingi, ati "Elufu moja mia mbili na ishirini na moja, mia sita elfu mia tano na thelathini na nane, milioni moja mia tatu elfu"
SAITAAAN![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumbavu kabisa [emoji23]
Mia sita elf mia tano, hakuna hiyo hela, labda umeitoa toka kwa tobo la matakoni kwako.
Ni kama vile wamexico wanaingia USA hadi inakuwa ni ngumu kuwafukuza kwa kuwa wanaingia in waves, ukiwafukuza omba omba wa tanzania10 wanaingia 50.Kama ni watz mbona hatusikii mkiwafukuza.