Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Tanzania iko na uwezo upi wa kusaidia nchi nyingine??, vyanzo vya kutega uchumi havitoshi ku finance national budget, propaganda ya "pesa za ndani" "tunajenga na pesa zetu' ndio za kwenyu. Ukweli utabaki hamtulishi tunanunua, hamna uwezo, kwa ajili ya fikra finyu mlio nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app