Tanzanian lady interview!

Tanzanian lady interview!

Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
Mkuu kuna siku niliuliza hilo swali,wabeijing walinijia mbogo mpk nikajionea why niliuza!
 
Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
Njoo ninong'oneze
 
Back
Top Bottom