Tanzanian lady interview!

Nimekuwa nakuona kila post yako kuhusu interview inakuwa Na ukakasi sana!sijajua tatizo ni nini!
Ni ukweli kuwa post yk hiyo imejaa dharau Na kejeli sana,hongera!
Hahaha umeninukuu vibaya nabpengine kwa sababu umezoea kujifikiria vibaya, sijawahi na wala sins kawaida hiyo ya kudharau interview zako Sepetu, utakua umenichanganya kwa kweli si Mimi na kama ningekua Mimi basi sinaga kawaida ya kujikataa,pole sana na nasikia vibaya kwa kuniona mpinga Mawazo yako
 
Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
Umeonaeee, mi sometimes nasomagaaa naangalia najipitia kmy kmy.
 
Uwe Na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…