CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kwa kweli kama hili jambo linaukweli basi nashawishika kusema kuna laana inatutafuna watanzania,
sijaweka hii thread ili mtu awe convised hapa but ukweli ndo huo, nisha kwambia nenda serengeti tafuta ile jamii ya kule waulize watakupa full story a to z ya huyu mwekezaji. ni kweli mimi binafisi nimefika pale na nilibahatika kuingia ndani kipindi bado haijakamilika, ni ya kufa mtu na imejengwa kwa ghalama kubwa sana.
ILA HATA UMAFIA ANAO IFANYIA TANAPA NI WAKUTISHA, NA KUHUSU WAKINA CHEYO WALIWEKA APOINTMENY WASINGEWEZA KUVAMIA TU. TATIZO PALE NI KWAMBA WATANZANIA WANADHARAULIWA FOR MAXMUM
hamna k2 nachukia maishani kama dharau tena in my own land,lakini siku zinakuja tutapata raisi safi kama mugabe trust me hakuna mzungu atabaki tz,watoto we2 wakose mashamba mtoto wa mzungu anaendesha estate,we ngoja za mwizi arobaini,sijaweka hii thread ili mtu awe convised hapa but ukweli ndo huo, nisha kwambia nenda serengeti tafuta ile jamii ya kule waulize watakupa full story a to z ya huyu mwekezaji. ni kweli mimi binafisi nimefika pale na nilibahatika kuingia ndani kipindi bado haijakamilika, ni ya kufa mtu na imejengwa kwa ghalama kubwa sana.ILA HATA UMAFIA ANAO IFANYIA TANAPA NI WAKUTISHA, NA KUHUSU WAKINA CHEYO WALIWEKA APOINTMENY WASINGEWEZA KUVAMIA TU. TATIZO PALE NI KWAMBA WATANZANIA WANADHARAULIWA FOR MAXMUM
yote haya nimeyatafakari....na bado sijaamini kama kuna mambo yanayoendelea kama hayo
mkuu si kwamba ni mambo ya kubuni haya, siwezi buni vitu halafu niweke humu janvini, tafuta watu unao wafahamu wakule MUGUMU SERENGETI WANAWEZA NA WAO KUKUPA MAELEZO ZAIDI.
KULE NI NOMA, WEWE FIKILIA MTU ANAMILIKISHWA HIFADHI KWA MIAKA 99
sijaweka hii thread ili mtu awe convised hapa but ukweli ndo huo, nisha kwambia nenda serengeti tafuta ile jamii ya kule waulize watakupa full story a to z ya huyu mwekezaji. ni kweli mimi binafisi nimefika pale na nilibahatika kuingia ndani kipindi bado haijakamilika, ni ya kufa mtu na imejengwa kwa ghalama kubwa sana.
ILA HATA UMAFIA ANAO IFANYIA TANAPA NI WAKUTISHA, NA KUHUSU WAKINA CHEYO WALIWEKA APOINTMENY WASINGEWEZA KUVAMIA TU. TATIZO PALE NI KWAMBA WATANZANIA WANADHARAULIWA FOR MAXMUM
mbunge wa hili jimbo ni nani?
mkuu hebu fikiria jambo hili
wawekezaji wanaosifika kimataifa
wamewekeza kwenye nchi nyingi bila skendo
wanakuja kuwekeza kwako,
unapeleka kamati ya wabunge,
jiulize huu utamaduni wa kamati za bunge kwenda kwenye luxury resorts
upo nchi ngapi??????/
je utamlaumu muwekezaji akiwafukuza,wakati uko koote
alipowekeza hakukutana na usumbufu huu???????
na hiyo kamati ya bunge ingeleta usumbufu gani kwa watu
waliolipia pesa nyingi wapumzike bila kelele?????/
hakuna anaejua,??
mkuu hebu fikiria jambo hili
wawekezaji wanaosifika kimataifa
wamewekeza kwenye nchi nyingi bila skendo
wanakuja kuwekeza kwako,
unapeleka kamati ya wabunge,
jiulize huu utamaduni wa kamati za bunge kwenda kwenye luxury resorts
upo nchi ngapi??????/
je utamlaumu muwekezaji akiwafukuza,wakati uko koote
alipowekeza hakukutana na usumbufu huu???????
na hiyo kamati ya bunge ingeleta usumbufu gani kwa watu
waliolipia pesa nyingi wapumzike bila kelele?????/
hakuna anaejua,??
You are right about that. Kamati ya Bunge inatakiwa kuwaita ama kumwita huyo investor mjengoni for congressional hearing, ili wamgrill na maswali na utata wote. Kama alivyoitwa boss wa Toyota kule congress.
mheshimiwa wa kwanza alikuwa dr jemsi wanyancha ambaye alipigwa chini kwenye kura za maoni, na wa sasahivi ni dr kebwe.
You are right about that. Kamati ya Bunge inatakiwa kuwaita ama kumwita huyo investor mjengoni for congressional hearing, ili wamgrill na maswali na utata wote. Kama alivyoitwa boss wa Toyota kule congress.
unacho sema kinawezekana kwenye nchi zingine but c tanzania, nchi kama marekani congres ina pawer yakufanya hivyo. nazani unaelewa bunge letu lilivyo.
JE NI MFANYA BIASHARA GANI AMEISHA WAHI KUITWA DODOMA TENA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE AJIELEZE?
kuwa SERENGETI sio kigezo cha kujua kila kitu mkuu
swala la huyu jamaa kuwa na jeshi lake ni tafsiri ya mtaani. infact nimeshiriki kwenye tafiti kama 4 eneo hilo, na nachoweza kusema ni kwamba bado jamii iko usingizini, mnachofikiria ni poaching tu. jamaa kawaajiri vijana kutoka jamii zinazozunguka hiadhi yake kama rengers kulinda wanyama wake. hukusikia ndo yeye aliyeleta FARU kutoka AFRICA KUSINI BAADA YA MIEZI KMICHACHE mkamuuwa na kwuchomoka na pembe?
awa jamaa wanataka saana kuwaajiri ila hamuajiriki. kumbuka hii ni biashara na client wake ni watu maarufu. Jiulize kuna vijana hapa kijijini kwenu wakiajiriwa kama hata waiters wanaweza kujieleza kwa ufasaha kwa lugha ya malkia? Je mna lima hata mboga mboga ambazo jamaa angeweza nunua hapo kijijini kwenu?Nyama akihitaji let say kg 100 mnaweza supply wa siku? ( Amkeni na msisubiri kuamshwa)
Kwa kiasi kikubwa Watanganyika tumekuwa walalamishi mno, tunabakiwa na kujifariji tu fulani ni fisadi wakati hata tukipewa fursa hatuna tunachoweza ku offer kwa hawa wakoloni. Hawa jamaa wangefurahi tena saana kuajiri receptionist, shef, housekeepers, kutoka vijiji vinavyozunguka lodge yake na mbuga yake mna hao watu?
Nyie endeleeni kupiga siasa badala ya ku confront reality, jiandaeni, kumbukeni hatakuja mkoloni kuwasomeshea watoto na wajukuu wenu, soon jamaa atajenga uwanja wa kimataifa wa ndege mshajiandaa kwa hilo? au mmejiandaa kwa kulalama tu?
kuwa serengeti sio kigezo cha kujua kila kitu mkuu
swala la huyu jamaa kuwa na jeshi lake ni tafsiri ya mtaani. Infact nimeshiriki kwenye tafiti kama 4 eneo hilo, na nachoweza kusema ni kwamba bado jamii iko usingizini, mnachofikiria ni poaching tu. Jamaa kawaajiri vijana kutoka jamii zinazozunguka hiadhi yake kama rengers kulinda wanyama wake. Hukusikia ndo yeye aliyeleta faru kutoka africa kusini baada ya miezi kmichache mkamuuwa na kwuchomoka na pembe?
Hawa jamaa wanataka saana kuwaajiri ila hamuajiriki. Kumbuka hii ni biashara na client wake ni watu maarufu. Jiulize kuna vijana hapa kijijini kwenu wakiajiriwa kama hata waiters wanaweza kujieleza kwa ufasaha kwa lugha ya malkia? Je mna lima hata mboga mboga ambazo jamaa angeweza nunua hapo kijijini kwenu?nyama akihitaji let say kg 100 mnaweza supply wa siku? ( amkeni na msisubiri kuamshwa)
kwa kiasi kikubwa watanganyika tumekuwa walalamishi mno, tunabakiwa na kujifariji tu fulani ni fisadi wakati hata tukipewa fursa hatuna tunachoweza ku offer kwa hawa wakoloni. Hawa jamaa wangefurahi tena saana kuajiri receptionist, shef, housekeepers, kutoka vijiji vinavyozunguka lodge yake na mbuga yake mna hao watu?
Nyie endeleeni kupiga siasa badala ya ku confront reality, jiandaeni, kumbukeni hatakuja mkoloni kuwasomeshea watoto na wajukuu wenu, soon jamaa atajenga uwanja wa kimataifa wa ndege mshajiandaa kwa hilo? Au mmejiandaa kwa kulalama tu?
inawezekana kwa sasa sababu ni bunge la mseto. Zamani haikuwezekana sababu lilikuwa bunge la chama kimoja. Kamati ya bunge kufunga safari kwenda kufanya uchunguzi wa jambo lolote kule linakotokea ndio mwanzo wa kukaribisha rushwa, manake wabunge wataenda huko na wakikatiwa mshiko?
Labda iko siku nape ama dr. Slaa wataenda huko na familia zao kuspend a night or weekend then wakigomewa ndio bomu litapasuka. Hii habari kama ni ya kweli basi hata hawa chadema/cuf/nccr ni useless kuwepo mjengoni
Ina maan mbunge wa upinzani aki-raise hii issue bunge litakaa kimya? Mbona wamezileta issues kama EPA, RADAR etc, unless hata hawa wapinzani ni hopelessccm bado wana miliki kila kitu na spika ni wa kwao itawezekana vipi?