CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ubinafsi unatumaliza watz, viongozi wetu ni wabinafsi sana. Hawawafikirii waliopo juani maana wao wapo kivulini.
Posho za vikao nikurekebishe namba tano; msaada hata kama ni mdogo kiasi gani wa manufaa maana kabla ya hapo hukuweza kujisaidia. Kama anarudisha kwa jamii basi anafanya jambo la heri.
mkuu ile misaada ni danganya toto na ni misaada ya kufunika kombe tu, hata wakoloni kabla ya kututawala walikuja na gia hizo hizo.
mfani mzuri ni kule nyamongo, wale watu wa mgodi wana fanya na shughulu za kijamii pale mgodini but, in reaaruty zile ghalama wanazo tumia kwenye shuguri za kijamii hazilingani na mali wanazo pola kule, ni sawa na yone la maji baharini