Tanzanian made clean animations

So i made another post covering how i made this animation. I must admit its one of the best ive done, im now working on another one which puts this one to dusts, yaan its even better. Hopefully i'll be able to share it with you all when its done.
Nimepata mualiko kuandika makala za kazi zangu kwene blog ya animators wa TZ so im having fun with it.
-----------

LINK: WHAT HAPPENS AROUND DSM CITY AT MIDNIGHT... | Animation Artists in Tanzania


--------
ANIMATION
<strong><u>
 
Last edited by a moderator:
So hey here is another animation i made special for the kids. I have done another episode as well will be launching it soon (So be sure to Sub and stay close)!! Alot more of zile old stories tulizokua tunasimuliwa zitakuja humu. Hope you like it.

 
Last edited by a moderator:
Safi ila ungetumia kiswahili ingekuwa safi zaidi.
Kiswahili version ntafanya ila baada ya baadhi ya English stories kwanza, nipate coverage kubwa. Maana kaka sema kweli guys nje nikiwa naweka stuff mitandaoni wanatoa big support ila nikifanya za kiswahili wabongo wanasema ndo poa sawa ila hawaonyeshi any support. Sipendi ila ndio ukwel, lakini bado ntafanya swahili vesion tu badae. Shukrani kwa comment mkuu.
:cheer2:
 
This is a compilation vid of the animations ive been doing with my buddy and some of the Exclusive stories we expecting to release this coming year. Hope you all like it.
----
 
Last edited:
Mr Good Guy kwann usifanye project ya series ya animation zenye episode za dk15 ama ishirini seriously na kuziuza kwenye station Tv au unatafuta udhamini katika sekta binafsi na kufanya kitu kama icho....lugha iwe ya kiswahili i think hapo ndipo TV zetu kwa kiasi kikubwa tunalack
 
Hello BabaTina, shukrani kwa ushauri huo. Tuna stories we plan to release to the media ila we'are still trying to raise funds to cover costs na pia kupata vifaa vitakavowezesha uzalishaji wa haraka na fanisi zaidi. Japo support ni ndogo mkuu ila ndo ivo tunajikongoja kidogo kidogo, hopefully tutafika!!
 
Last edited by a moderator:
This is a compilation vid of the animations ive been doing with my buddy and some of the Exclusive stories we expecting to release this coming year. Hope you all like it.
----
[video=youtube;ZUmgEyMjx1I] utu.be[/video]


Link haipo vizuri mkuu hebu iweke fresh tuweze kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…