Tanzanian made clean animations

Tanzanian made clean animations

Just updated the thread with 2 very captivating Sound tracks we made specially for this animation. Hazina majina bado feel free kutoa suggestions. 😀😀
--
1st track
.

---
2nd track
.
 
Just updated the thread with 2 very captivating Sound tracks we made specially for this animation. Hazina majina bado feel free kutoa suggestions. 😀😀
--
1st track
.

---
2nd track
.

Soundtrack ziko poa sana,
Big up sanaaa mkuu!!!!
 
kama nikihitaj mafunzo ya animation mpangilio wa mafunzo unakuwaje nipo moro kwa sasa

Hello mkuu. Kwa sasa hatujafikia hatua hiyo meaning ni jambo ambalo bado hatujaliwekea mpangilio, unaweza wasiliana nasi zaidi kwenye pages za instagram au facebook kujua ni maswala gani tunayatoa na kuyafanya kwa sasa.
Apologies for a late reply also
 
Hello brothers and sisters, yet again here i am with some exciting news. I believe nmekulia humu ndani (artistic wise i.e ), i remember the time when i posted some 1st low q animations na kupata alot of advice from guys in here, C6 , wickerman 😉 , Magembe R. Malima, kadoda11, just to mention a few. Also alot of you guys pushed me from doing sticks and English animations to doing full body, and Swahili based.

I worked on the first (with the help of very gud lads i know) but the latter one sikuifanyia kazi. So nipo hapa saying thanks kwa michango yenu, na kuwatarifu pia after meeting na hawa 2 amazing artists kwene last work ile, we realized we could do a lot.

I cant begin to tell u guys but we have a lot more gud stuff to give out, Kuna hio short animation ya kitanzania we're working on which is gonna be [HASHTAG]#EPIC[/HASHTAG] , kuna a lot of stories and characters na lots of comics za action na humor based kibongo bongo. Niishie hapo, ila mind you sijui ka ntakua naweza kupost everything huku so kama unapenda the idea and you wanna follow the journey with me stick around a bit longer, like the page to see more stuff (and show some luv as well), contents zitakua kwene FB page below!

Also kuna youtube channel which will be having even more videos na insta pia zitaungwa via FB later (trust me kuna A LOT of contents coming).
For now nawaacha na the poster ya the upcoming animation, Ni exclusive hii, haijawa updated bado kwene page, zawadi ndogo kwenu, pia na some other of cool characters.

UNTIL NEXT TIME, NICE DAY TO YOU GUYS <3

View attachment 205234
View attachment 204965
View attachment 204968

I am a new instructor of Motion graphics design & visual effects in movies and games, i do animation films for more detals call me on this number 0717 238773
 
I am a new instructor of Motion graphics design & visual effects in movies and games, i do animation films for more detals call me on this number 0717 238773
Thanks, will do.
 
Hi everyone. Nilipokea challenge hii ya kutengeneza filamu fupi ya dk 1 inayohusu chochote kile ila lengo kuu ikionyesha mafanikio ya Jumuiya ya Afrika mashariki.

Niliwaza wazo na hii ndio 'filamu' yenyewe niliyokuja nayo. Let me know what you think.

Thanks

Iko poa pale lile wingu la umaskini mbona ukaweka na elimu wamaanishi?!

Asante mkuu. Tuna matatizo mengi sana, elimu bado ni mojawapo tangu enzi za mwalimu. Idadi ya wanafunzi wanaokosa elimu ni kubwa, lakini pia hata hao wanaoenda mashuleni hawapati elimu bora, takwimu zinaonyesha nusu ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawawezi hesabu za darasa la pili na karibu nusu hawawezi kusoma. Ndiyo maana nikaweka elimu hapo.
 
Basi usingeandika elimu ungeandika ujinga ambao elimu ndio suluhisho lake.
 
Naweza kutumia cm, ku create animation videos?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom