Tanzanian made clean animations

Tanzanian made clean animations

Good job. ..MOLA ATUONGOZE MILELE. ..
 
Ijumaa leo ngoja nitafute kalanga na shalubati ya miwa hapa nikiisubili hiyo animation.............. Hv hakunaga njia uwe unauza mkuu au you are juc doing it for fun???????

Na hata hivyo unaweza tengeneza fun base kwanza ukija uza utauza sana tuu kama walivyofanya fantastic four animation zao
 
Fanyia kazi zaidi hizo artworks,sura zionekane za kiafrika zaidi.....other than that,I love animations,I cant wait!hongera.
 
Fanyia kazi zaidi hizo artworks,sura zionekane za kiafrika zaidi.....other than that,I love animations,I cant wait!hongera.

Nashukuru kwa maoni ndugu. Ntayafanyia kazi kadri niwezavyo. Animation is out also dont forget to check it out
 
Narration: 4/5
Animation: 3/5
Background/Graphics: 4.5/5

Msalimie sana mdada alie narrate hadithi
 
Jaribuni kutengeneza ambayo ni recent na ina husisha ishu zinazotokea leo hii with a comefic twist kwa mfano kama vile boondocks
Analia display pic au avatar watever you wanna call it
 
Narration: 4/5
Animation: 3/5
Background/Graphics: 4.5/5

Msalimie sana mdada alie narrate hadithi
Shukrani sana mkuu, will put in more effort in the future. How did you find the music and in this one?
 
Jaribuni kutengeneza ambayo ni recent na ina husisha ishu zinazotokea leo hii with a comefic twist kwa mfano kama vile boondocks
Analia display pic au avatar watever you wanna call it
Nashukuru sana kwa maoni kaka!! Thanks for the input
 
Kazeni buti, hata ufotable walitoka hukuhuku, mko vizuri sana kuchora characters, na mimi kwenye story za superheroes na god stuffs hua niko hooked, wekeni animation za mdomo pia, kuona still images ni kama nasoma webtoon, kama they must be still images basi angalau parallax effect. Toa part two tuendeleze story.
 
Back
Top Bottom