Tanzanian made clean animations

Hongera sana mkuu, kazi nzuri nakutakia mafanikio mema;
 
This is a compilation vid of the animations ive been doing with my buddy and some of the Exclusive stories we expecting to release this coming year. Hope you all like it.
----



Unahitaji kama how much kwa ajili ya vifaa na kazi yote jumla for one series ya dakika kumi therathini
 
Unahitaji kama how much kwa ajili ya vifaa na kazi yote jumla for one series ya dakika kumi therathini
Swali lako mkuu sio tu la mimi kuja na kutamka nahitaji sh xxx, inahitaji uchambuzi kidogo kabla ya kuja kwenye jibu. Kuna factors kama story inawahusika wangapi, je mazingira ni mengi au sio, je kuna wahusika watahitajika (voice actors? wangapi?), uandishi wa hadithi na marekebisho pia. Kabla ya kufanya chochote in animation story nzima kila kitu kinakuwa clear ndo only then budget na vitu vingine vinakuja. Ila just to give you an idea, i've worked on other side projects and produced animation za kawaida with minimum characters and environments for production cost of approx Tsh 400-700K for maximum of 5 minutes of animations. Kwahio unaweza kufanya rough estimates kwa unachokiulizia roughly itaangukia wapi.
If you wanna know more and stuff just shoot out an email to "gccstudiosx@gmail.com"
Cheers
 
Last edited:
umefanya kazi nzuri ,naifahamu hii hadithi nilisoma 1992 ,nimeipenda ulivyoifanya kwa english
 
Longtime sana hii kitu mzee tolla ila ungefanya kwa kiswahili nahisi ingekuwa safi ....

Good work bro
 
hivi kwanini watz tupo nyuma kwenye animation...naona wenzetu wanatushinda aseee..roho inauma
 
umefanya kazi nzuri ,naifahamu hii hadithi nilisoma 1992 ,nimeipenda ulivyoifanya kwa english
haha hadithi zilikua nzuri sana hizo, shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…