Tanzanian made clean animations

ebana uko vizuri sana bro,,nimechek na hyo behind the scene n u did it great man,,kip it up n in years 2 come utafika mbal sana ikiwezekana kwenye world movie industry
 
Nikisema nikupe over 10 hapa nakupa 8.9

Ningependa kuona Yale mazingira yetu maana pameonekana kama viunga vya nchi za wenzetu, ingawa umeipa 2030. Kazi nzuri kwa kweli napenda siku ninapocheki cartoon network, boomerang, watoto wetu, etc nizione zako pia
 
Why usitengeneze 3d kuliko hivo vi vishapitwa na wakati we neec real 3d animation kama rango tangled etc ni mtazamo lakin. M nao natumia blender kucreate watu nina dream nitengeneze kitu cha ukwel
 
Why usitengeneze 3d kuliko hivo vi vishapitwa na wakati we neec real 3d animation kama rango tangled etc ni mtazamo lakin. M nao natumia blender kucreate watu nina dream nitengeneze kitu cha ukwel

Budget ya tangled Ni 260m usd. Kama billioni 520 za kibongo. Kwa Tanzania Ni nusu ya utajiri WA bakhresa au budget ya wizara.

So usitegemee mtu mmoja afanye kitu kama hicho. Hats huyu jamaa akipewa manpower, budget na tools husika huenda na yeye akatoa animation nzuri.

Pia Japan wana animation zao maarufu kama anime Ni 2d. Hope umeshaskia anime kama Naruto shipuden, one piece, bleach, nk Ni maarufu na still Ni 2d
 
ebana uko vizuri sana bro,,nimechek na hyo behind the scene n u did it great man,,kip it up n in years 2 come utafika mbal sana ikiwezekana kwenye world movie industry
Appreciate t kaka:cheer2:
 
Thank you man, haha yeah brother one day sure mkuu :humble::first:
 
Samahani lakini et hio ni cartoon au animation
.

Why usitengeneze 3d kuliko hivo vi vishapitwa na wakati we neec real 3d animation kama rango tangled etc ni mtazamo lakin. M nao natumia blender kucreate watu nina dream nitengeneze kitu cha ukwel
Cartoon naona ni just cartoon huku animation ikiwa ni process, kuhusu hio issue ingine just kama alivosema Chief mkwawa, animes zinaongoza being watched, shows za TV (Cartoon netwrk, boomerang nk) almost 90% ni 2D na sababu ni kama alivosema Chief 3D is amaizingly expensive ili upate somethng descent. I also wish i had a really powerful machine nd tool ila i dont (for now) animations zote hizi, all frames and stuff nafanyia ile touchpad ya laptop so once i evolve hopefully gud material will be out. Thanks for the comment btw bro
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Kweli kabisa na wale ndo wanaongoza kwenye hii taznia, kiukweli Good Guy anatisha yuko vizuri kwani nani katoa 3d animation hapa bongo ? Tatizo watu wengine hawa kubali ku appreciate wenzao
 
Last edited by a moderator:
Not bad, kindly visit the website of a college in Nairobi called Shang Tao and u will be able to find very important stuff there.
 
Usually a pleasure bringing my work to you guys. Enjoy

Outstanding work kaka. Kutengeneza animation ni kazi isiyo rahisi kwa kuwa ubunifu mkubwa na muda hutumika. Nimeipenda sana kazi yako, nimeona imrpovement zaidi, na nilichofurahia hii video ni dakika nne (umeongeza muda kidogo tofauti na zile short teasers za action za kipindi kile). Hongera sana kwa kazi nzuri mkuu.

Have a glass of beer..
 
Kweli kabisa na wale ndo wanaongoza kwenye hii taznia, kiukweli Good Guy anatisha yuko vizuri kwani nani katoa 3d animation hapa bongo ? Tatizo watu wengine hawa kubali ku appreciate wenzao
Nashkuru sana kwa suppport mkuu. Thanks
 
Hahaha maah brother. Thanks man and CHEERS
:first::first:
 
Usually a pleasure bringing my work to you guys. Enjoy
<b>
Kaka ni nzuri sana yani kila kitu kipo vizuri nimependa miziki pia sema umesahau kuandika playlist ya miziki ambayo imetumika,,by the way mimi pia nafanya hivi vitu i have a passion about this nimeanza wiki iliyopita sema mimi nafanya 3D animation natumia blender in a month nitaadvance kwa 3ds max, nilitaka kuuliza tu je umewezaje kuingiza sauti, hizo recordings unatumia software ipi na devices zipi kuingiza sound?
 
Last edited by a moderator:
Hello there kaka Lyamber Sorry for the late reply, siku mbili tatu hizi sijaingia sana huku. Shukrani sana kwa comments chanya. Situmii vitu fancy ata or anything, kurecord natumia simu (i'm working kupata better equipments), kwa Audio natumia "Audacity". Ni free audio editing software and iko poa sanaa, hata kwa matumizi tu ya kawaida kukata audio, kuunga audio, kuondoa mikwaruzo, kuweka effects na issue kibao. Kama hauna ishushe, ni very helpful audio editing tool afu ni bure kabisa. Congrats by the way, vp una kazi zako ulizoweka online or anything? Ningependa kuziona kaka.
Regards.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…