Tanzanian made clean animations

Shukrani mkuu nitaishusha mida mida maana sound quality uliyotumia ipo poa sana kwa kweli...
 
Shukrani mkuu nitaishusha mida mida maana sound quality uliyotumia ipo poa sana kwa kweli...
I'd still love to see anything unafanya kaka, i just luv seeing wat fellow artists are up on
:rockon:
 
[QUOTE
=UncleUber;zz
Zds c
I x]Leo sijasikia kamlio ka facebook messnger, but all in all its nice,u nimecheka afande anaomba awekewe pilpili kwenye kiepe, ila kuna vitu vichache ambavyo nimeshangaa kama mwanzo kutumia sauti ya mtangazaji wa dira ya dunia bbc, but ya dar imekaa kama new york, kweli kavaa kama trafficthe wa bongo ila magari ya polisi kama ya mbele...kilichomiss ni kale ka mlio tu m[/QUOTE]



ik
​BEHIND THE SCENES




Thanks alot for the comment Swat
 
Last edited by a moderator:



ik[/QUOTE]

:rockon::rockon:
 
"amenitendeea..Amenitendeaa, Emanuel Amenitendeaa" kwa walioiona hii 3D wametengeneza wapi? na wana nyenzo gani za ziada kutushinda?

Hiyo imetengenezwa Kenya na David Mwangi. Kazi yake nyingine ni hii hapa chini


Kuhusu nyenzo walizonazo kutuzidi, jibu ni kuwa HAKUNA! Labda swali litakuja kwanini sasa wanafanya vitu "vikubwa" kuliko sisi? Jibu ni refu kidogo lakini kwa kifupi ni kuwa Wakenya wana tabia ya kuwahi kufanya vitu (wamechangamka) kuliko sisi. Tutafanya lakini kwa kuchelewa kidogo. Hivyo hakuna sababu ya msingi sana ya wao kutuzidi, nyenzo ni almost zile zile.
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu animation ya Good Guy,

PICHA/MICHORO
Kuna tofauti kubwa (chanya) ukilinganisha na kazi zilizopita (mwaka jana?) za stick figures.. hizi ni bora sana. Maendeleo makubwa.

UHUISHAJI/ANIMATION
Cha kwanza nilichopenda ni kuwepo kwa kopo la juisi lilikanyagwa.. hii inasaidia kutajirisha mandhari na kujenga udadisi kwa kuanza filamu kutokea pembe/upande (angle) usiotarajiwa.. ni rahisi sana kusahau kuweka vitu kama hivi.. details.. safi.

Nimependa pia details za watu katika magari eg nywele za jamaa kwenye gari nyekundu kutikisika na facial expressions za mdada (Eye blinking and mouth movements), car speeds and camera moves and angles eg from above etc.

SAUTI/SOUND
Sauti ni nzuri pia. Sina malalamiko.

MAPUNGUFU
Huyo trafiki aisee hajakulia mkoa wa Mara, sauti yake inaonekana anatokea maeneo ya baridi lakini si kusini mwa Tanzania. Ubunge wa Tarime atausikia tu redioni.

TECH STUFF
Inaonekana katika options za kurender katika hatua fulani uliset video kuwa Interlaced, kwa sababu inaonesha vimistari horizontal (interlace combing effect) angalia mfano wa picha chini. Watu wanaotumia screen za migongo/visogo (CRT) hawatagundua hilo ila wa Flat screen itakuwa dhahiri kwao. Kwa kuwa teknolojia inaelekea kwenye flat screens na broadcast equipment zimekuwa faster na more powerful badala ya kurender "interlace" scan tumia "Progressive." Naamini hizo options zitakuwepo kwenye software yako.

Kielelezo, Interlace Combing effect:





ALAMA
76%

Adios.
 
A link would be helpful brother.:glasses-nerdy:

3D Animation College in Nairobi Kenya



Higher National Diploma click here to read more.....................................................................

REQUEST INFORMATION BELOW..................................................................Your name:
Your email:

Your phone number:
Enter your message below:
** Kindly specify which course you are interested in

..................................................................

Welcome to Shang Tao Media Arts College

Shang Tao Media Arts College is a modern training institution in Kenya, Africa especifically designed to fulfill the vacuum in computerized media production for students and those who wish to have successful careers in multimedia globally. We have been training students in multimedia related fields since 2003.
The concepts in 2D & 3D Classic Animation have grown over the years, into new branches of Game Art, cartooning, Design and Visual Effects. Shang Tao Media Arts College has transformed lives and launched careers for many professional artists, graphic designers and animators working around the world. We are proud to have trained at least one TV Graphics Personnel in all the TV stations around the Country. more...
3D Animation - Wine Glass










2D animation process done by students
3D animation done in Shang Tao






 
Usually a pleasure bringing my work to you guys. Enjoy
<b>

hongera ndugu! animation ni biashara kubwa duniani. japo africa bado although kenya hivi majuzi kampuni zimeanza kulipa pesa nzuri kwa advert za animation. kuna baadhi wanatengeza millioni kadhaa za kikenya. labda pia ujaribu kutengeza advert demos utume kwa kampuni hapo kwenu na kenya pia! nikupe mifano ya wenzako wanilipwa mamilioni hapa kenya kwa sasa!


 
Last edited by a moderator:
Thank you. The guy is indeed talented nimeshaona kazi zake nyingi sana, ndo naelekea huko mkuu nataka kwanza nielewe concepts nzima kabisa za animations, timings, motions na designs then ndo ntamove forward. Thanks alot for the comments mkuu.:smile-big:
 
So i was honored to make a blog post on one of the finest Tanzanian animators blog, which has the most amazing talented artists i know. In the post i cover the Story behind the animation, how it was made and finaly link to the animatif you hadn't seen it. Hope you guys like it.
.
.
.....
....
...
..
.
LINK: http://animatorsintz.blogspot.com/2015/09/misunderstood-hero.html?m=
.
..
...
.....
......

...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…