Tanzanian most successful women under 40

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Wadauz;

Leo hebu tuwajadili wanawake waliofanikiwa kwa kila proffesional anayoifanya wa Kitanzania kuanzia biashara, kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, makampuni, sanaa na michezo pamoja na ujasiliamali.

Na naomba ukiwa unataja mtu taja na aidha kazi yake then utuambie kwa nini unahisi she is successful, kipi kilichokuvutia kwake? kipi ulichokiona kwake ukasema yes she is successful.

Mfano mie binafsi namtaja Mwamvita Makamba, kwa position yake aliyoifikia, kwa Assets alizonazo ni kwamba ameweza ku-achieve everything ambacho mtu yeyote anataka awe nacho;

- Money
- Power
- Respect

Twendee....
 
Haya mambo mi naonaga uvivu kuchangia kuna wanawake wana hela balaaa lakini kwasababu hawapo kwenye limelight humu hutawasikia tutaishia kuwasikia wanawake wasiokauka kwenye media tuuu

ernest and young kuna patner mdada.. ana hela za kutosha tu na yupo successful kwenye career yake.. wapo kibao mjini hapa
 
watajeni na kuwaelezea, mkishawataja wa kutosha mi nitakuja kuwasoma ili niwajue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…