Tanzanian most successful women under 40

Tanzanian most successful women under 40

Mwamvita Ana asset gani ya kueleweka!?
Unazijua zili nyumba zilizopo nyuma ya oilcom inayotazamana na TMJ....sasa zilenyumba pale ni kuanzia dolla laki4 mpaka laki Sita inategemea umechukua ya u kubwa gani sasa yeye anayo pale na kupangisha pale si chini ya dolla elf 4 .i hope umenielewa
 
Uzi wenyewe unachangiwa bila ya details,kama mtu huna cha kuchangia au humjui vizuri unayempendekeza si utie kufuli domo!ni lazima uandike kila uzi unaokuja mbele yako?..Mnaboa sana aisee..
 
Shilole-amepanga,
ana boyfriend kijana,
aliolewa akazalishwa kisha kuachika,
alishawahi kuwa mhudumu kwe hotel,
anapendwa na Bf wake hadi kuchorwa kwe mkono.
itaae nd el ea
 
mi namkubali irene kiwia na yule dada wa bang magazine imelda nawapenda nyie wanawake mpaka naumwa bila kumsahau joyce kiria
 
Back
Top Bottom