Unazijua zili nyumba zilizopo nyuma ya oilcom inayotazamana na TMJ....sasa zilenyumba pale ni kuanzia dolla laki4 mpaka laki Sita inategemea umechukua ya u kubwa gani sasa yeye anayo pale na kupangisha pale si chini ya dolla elf 4 .i hope umenielewaMwamvita Ana asset gani ya kueleweka!?
...Yule designer mwenye Rasta au
Modesta Mahiga.
Hoyce Temu... Ntarudi kumalizia!
ID yako umeitendea haki
Bila kumsahau beautiful onyinye wema sepetunga
Lady Jaydee ni namba moja hakuna mjadala
miaka 24 au umegeuza namba 42 sura imedepreciate vile inaenda kwenye scrap value unasema 24.?miaka 24