kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Dah! Ila maneno wanayoyasema kama ni kweli basi hiyo Tanzania yenu inatumbukia mkiona kwa amcho yenu, huyo Msigwa anasema tayari anatafutwa na polisi huko nyumbani.
Hii Afrika tuamue kimoja, labda tuache hiki kiigizo tunaita demokrasia, tuishi chini ya utawala wa kiimla kama Korea Kaskazini au tukubali demokrasia ya kweli, haya maigizo ya kudanganya wazungu ili waendelee kutupea misaada ni aibu tupu.
Acha kusikiliza kiki za hao watu, huyo Peter Msigwa atafutwe ana nini? Ni kidampa tu asiye na ushawishi wowote.