Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k


Acha kusikiliza kiki za hao watu, huyo Peter Msigwa atafutwe ana nini? Ni kidampa tu asiye na ushawishi wowote.
 
Nani ana account 10, umeandika upoyoyo. Wakenya hawawezi kusikiliza ujinga wako, tulia dawa ikuingie.
 
Kwani hujui kilichowapeleka kule? Au unajitia hamnazo?
 
Jamanieee... Ninyi mnafahamu kuwa Kiingereza si lugha yao. Kama wameweza ongea wakaeleweka, tuwapongeze. Hata siku moja hawawezi kiwa kama waingereza. Ndo maana dada amepoga chenga akakwepa Kiswahili. Hilo moja. La pili,mficha uchi hazai. Haya mambo mkiyafungia macho na kutokuyapeleka kwenye iwanja wa kimataifa. Wataendelea kupotea wengi. Viongozi wa Tanzania wameacha kuwatumikia na sasa wanawashughulikia. Magufuli alisema hili mwenyewe.. "Watch it".....
 
Bogus anajulika tuu hata akiandika kwa kingereza, naona umeamua kuuthibitishia umma wa JF ni kwa kiwango gani uko bogus nafikiri ukirudia kusoma ulichoandika unaweza kukataa kama ni wewe uliyeandika
nikatae nilichoandika? kwa nini nikatae. Kwani nimeandika uwongo, onyesha uongo hapo
 
Inatumbukia wapi? Na wewe ni wale wale tu, mnatambulika kwa maandishi yenu tu na hila zenu mbaya.
Msigwa awindwe wa kazi gani, Lisu mwenyewe hakuwa na effect yeyote hata uchaguzi ukiitwisha Leo, sembuse ndumilakuwili Msigwa. Nyie hamuwajui wa bongo. Haswa hao upinzani
 
Kwani hujui kilichowapeleka kule? Au unajitia hamnazo?
Hivi ni nini kilichowapeleka kule, usalama, matibabu, au kuonekana kwenye TV za nje? "Actually" Kazi waliotumwa na wananchi na kuwapa ugali wameikimbia.
 
It's a shame for them to publicly show their ignorance and incompetence as politician from major opposition party in the eye's of the world. Infact the interview bring more damage to us all as Nation.
 
hawajaponda nchi wameponda utawala mbona Mandela alizunguka dunia nzima kuelezea ubovu wa sera za serikali ya makaburu hata kipindu kerry akiwa ameangushwa na bush aliwahi kuwa interviewed na BBC akakosoa sera za marekani hapo akiwa uingereza ssa kipi cha ajabu wanakosoa utawala wa kidikteta kwenye chombo cha habari ili dunia nzima ifaham sasa kosa lao likwapi???
 
Ha ha ha hiki kingereza chao nilifikiri ni Pwagu na Pwaguzi. Msigwa anapochanganya R na L hivi hajui kuwa Row na Low ni vitu tofauti?

Na yule mwingine ni ze ze ze nilifikiri anataka kujibu kwa kifaransa kumbe anaongea kichaga kwa kingereza[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbaya zaidi mdada wa Kikenya kawafunika sana. Kuna siku nilileta mada hapa huu mchezo wa kiswahili primary na kingereza sekondari ubadilishwe.

Matokeo yake ndio haya. Kwani walilazimishwa kuongea kingereza?
Hakuna mzungu atawaelewa hawa bila ya mkalimani. Waendelee tu kuwa mawaziri vivuli.

Ukizingatia mambo ya kiserikali ni beyond spoken language. Uwaweke na Obama hawa kitaeleweka kitu?
 
Boss how did u find out that nobody cares??? Seeking sympathy on which grounds??? Brother that was an interview to talk abt the issue which brought them to kenya which turns out to be caressing lissu's wounds of 8 bullets!!! then what did u expect them to talk about! since when is stressing out facts has turned out to be sympathy-seeking????

another thing is ur talkin abt thr presentation which according to u its shambolic however to me i find its fine since whatever they had planned to enlight the world has been heard and thats more important whether with poor accent or grammar!!! so instead of discussing their presentation skills i guess we should analyse the content and to me they delivered a right message at the right time and place!!
 
Waaah... I laughed throughout the interview.... Their English was an absolute comic......kwanza the mp from Arusha...
Hivi wakenya mnajivunia lugha gani? Kiswahili hamjui na hicho kiingereza pia hamkijui. Mlitaka waongee kikikuyu?
 
Waaah... I laughed throughout the interview.... Their English was an absolute comic......kwanza the mp from Arusha...
Your stup..ty made you laugh. Kwani uliarifiwa kuwa MPs wetu ni waingereza? Ila angekuwa mchina anaongea hivyo ungemfurahia mpaka kutamani umkaribishe kwenu. Hide your *$#÷% through your silence
 

Kabla ya kwenda kuchekesha nje wangechukua mazoezi hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au mkubali tu hawakusoma.
 
lugha ya english ni shida nchini kwetu sababu ya sera mbovu ya serikali miaka nenda rudi hivyo hta msigwa kajitahidi sana tu mkuu maana kaeleweka vzuri tu anachojaribu kusema maana mtangazaji alikuwa ana highlight keywords anazosema msigwa ili kuunda maswali ya mtiririko huo so mi naona it was average mkuu kwa msigwa ila lema it was poor kwakweli

Hivyo ni kosa kuwanyooshea kidole hawa maana hata mawaziri wetu wenyewe english tabu mpka rais na waziri mkuu hivyo ni shida ya nchi nzima tena kwa sera mpya ya elimu ni kiswahili mwanzo mwisho ndio tutegemee majanga zaidi
 
Tunawaombea marudio ya uchaguzi yenye amani.
 
By any chance, do you knw the difference btn Tanzania and Tanganyika? Saying that Tanzania was colonized and yet talking abt Tanganyika colonization proves that you are clueless abt the two! And the fact that you didn't show the position of Zanzibar in your explanation makes your argument logical.

But if you insist, then go ahed and tell me the exact year Tanzania became independent!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…