Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k


Unajua kwa kiswahili unaweza kuchanganya R na L na bado ukaeleweka. Ila kwa kingereza ukichanganya vitu kama Raw na Law , Row na Low ni majanga.
 
Andika kwa kiingereza tuone kama una point au kama hata unaelewa walichozungumza.
 
It's a shame for them to publicly show their ignorance and incompetence as politician from major opposition party in the eye's of the world. Infact the interview bring more damage to us all as Nation.
It is very difficult for shortsighted mind to see the real impact of what they appealed to the international community. If a labouring mother doesn't want the nurses to see her private parts she will endanger herself and the child she expects.
 
Andika comment zako kwa kiingereza tukuone. Au itakulazimu uwe karibu na kamusi ya kiswahili kwenda kiingereza!
 
mkuu unapata nini ukipotosha wakenya wasiojua siasa za Tanzania ???
1. Lisu hakusema approach ni mbaya ila ni kwamba lisu alitaka kuminimize risk ya hasara kwa kutukumbusha huko nyuma tulitumia approach kma hiyo mwisho wa cku tukapata hasara ya mabilion sababu sheria zetu zipo weak sana kwenye kulinda rasilimali hivyo akaenda mbali na kudai serious reform kwenye sheria zetu ili tusirudie makosa ya nyuma hivyo tunaweza kusema lisu and magufuli had one objective but different strategies au methods na ndio maana ya demokrasia hyo kupishana mawazo ssa kwanni akitofautiana na magu basi mnamuona kma msaliti??? ssa mlitaka akae kimya afu tuingie kwenye hasara kma dowans ama samaki za wachina???

2. Mbowe kachaguliwa kwa vipindi vitatu na katiba yao ya chama inaruhusu sasa ni dikteta kivipi wakati alichaguliwa kikatiba ?? pia hakuanza toka genesis sababu chadema imeanza early 90s ila mbowe amekua chairman 2004 sasa kivp kaanzia genesis wakati yye ni third chairman wa chama??? kma angekuwa dictator mbona aligombea Urais once alafu akaachia wengine unlike other opposition party leo hii anakua dictator???

3. hawakuenda kenya kuonesha ubaya wa magufuli ila kumbuka kilichowapeleka sio harusi au kuapishwa kwa kenyatta ila zaidi ni survival ya lisu hivyo wameitwa kuongelea hyo issue ya kupigwa risasi ssa ulitaka waongelee majimbo yao au bajeti ya nchi wakati kilichowaleta ni issue ya lisu !!! ssa ulitaka wamsifie magufuli wakati kwa. ssa ndio suspect wa kwanza kwenye shooting ya lisu sababu aliwahi mtishia sana huko nyuma kumshughulikia!!!!

4. unapotosha kuwa sio wazalendo ila ukweli ni kwamba hadhira waliotaka wapate ujumbe huu ni jumuiya yote ya kimataifa na afrika mashariki nzima pia ssa kma wangetumia kiswahili ujumbe si ungeishia tz na kenya pekee!! Huyo magufuli anatumia kiswahili sio sababu ya uzalendo ila sababu hakijui nafkiri unakumbuka madudu yake ya lugha kule lindi !!

Anyway all in all acha upotoshaji kwa wakenya haisaidii chochote kuficha ukweli kuwa mnaleta udikteta tanzania period
 

..hao wabunge wa Tz ni Godbless Lema na Peter Msigwa.

..Godbless Lema aliwekwa detention kwa miezi 5 kwa kesi ambayo inaruhusu kupewa dhamana(bail).

..State Attoneys walikuwa wana invoke injuctions kuzuia Hon.Godbless Lema asipate dhamana. And the Magistrates were allowing them to abuse the court.

..Sasa hiyo inakupa picha ya uhuni wanaofanyiwa viongozi wa vyama vya upinzani huku Tz.

..But u also have to take into consideration ni kitu gani kimewafikisha wabunge wa Tz hapo Nairobi.

..Ni kwamba Tundu Lissu ambaye ni Chief Whip wa opposition camp in our parliament ameshambuliwa in day light na watu wenye sub machine guns. Tundu Lissu sasa hivi yuko icu ktk hospital ya hapo Nairobi.

..Hali hiyo ndiyo inasababisha viongozi hao wa upinzani huku Tz waiseme vibaya serekali(government) wanapokuwa nje ya Tz.

Cc MK254
 
I've never imagined language barrier to be an issue between Kenya and Tanzania.
 
Ingekuwa kiswahili ni lugha ya kimataifa kusingekuwa na ulazima wa kujua kingereza.
 
Acha kusikiliza kiki za hao watu, huyo Peter Msigwa atafutwe ana nini? Ni kidampa tu asiye na ushawishi wowote.
hana ushawishi kivp wakati huko kwao anakubalika na ni kati ya wabunge active Saudi majimboni na bungeni salsa unataka kupotosha nini?? ukweli ni kwamba mnataka kuwamaliza wapinzani Tanzania maana majukwaani mnajua hamuwawezi mkaona mfute bunge live na mzuie political rallies mkaona bado wanapaaa mkaanza ssa kuwaua kma ben saanane na sasa lisu bila kumsahau mawazo ila nakwambia mkuu malipo ni hapahapa duniani mnaweza fanikiwa kuwaua kma alivyofanya gadaffi ila one time one day yatakuja kuwarudia jifunzeni kwa idd amin mobutu na gadaffi!!

TIME WILL TELL
 
Hali ya Lissu sio nzuri ingawa inaendelea kutengemaa na ni muujiza kuwa yu hai na wanaendelea kuomba michango ya matibabu ndani na nje kutokana na gharama za matibabu kuwa aghali Nairobi......Lissu hakutoa taarifa polisi kwamba anafuatiliwa ila aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuwaambia.....Dreva wa Lissu anapatiwa matibabu ya kisaikolojia Nairobi... Wanahitaji wapelelezi kutoka Ulaya kwa sababu hawana imani na polisi wa Tanzania ingawa serikali haitaruhusu na hawawezi kupeleka malalamiko yao Kikanda kwa sababu hawana imani na Kagame na Mseveni...... Siasa za Tanzania zimetoka kwenye kuzuia mikutano ya kisiasa ya hadhara (ingawa wao kama wabunge wanaifanya) na ukamataji wa wabunge na sasa ni wanawapiga risasi wabunge.....Wanamuunga mkono Uhuru kwa sababu Raila aliwasaliti kwa kumuunga mkono Maghufuli na hivyo kukiuka misingi ya siasa za upinzani......Wataendelea kupiga kelele (kupaaza sauti zao) ili watu na dunia isikie.......Hawajajua bado nani atagombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya chama chao.
Maswali yangu ni haya:
1. Kwa nini wasitumie utaratibu wa kawaida wa bima ya afya kwa vile hatari ya usalama wake haipo kutoka na wao kuwa macho muda wote;
2. Kwa nini Lisuu hakutoa taarifa polisi ili kuwa na ushahidi (RBNo) wa kutishiwa maisha?;
3. Kwa nini hawataki kutoa ushirikiano kwa polisi ili basi kuwa na ushahidi kwamba polisi wameshindwa kutekeleza wajibu wao? Au ni kwa sababu wao ndio watuhumiwa?;
4. Kwa nini wanawasemea wananchi wa Uganda na Rwanda ambao kwao mfumo walionao wa kuendesha nchi ndio waliouamua?;
5. Wao kumuunga Uhuru (Jubilee - chama tawala) hawaoni kwamba wanakiuka misingi ya siasa za upinzani?
Wasalaam!
 
Ni kweli TIME WILL TELL ila usije ukajificha kukabiliana na ukweli, utakapojiri!
 
Ni kweli TIME WILL TELL ila usije ukajificha kukabiliana na ukweli, utakapojiri!
ila mumshauri dikteta akubali kutofautiana mawazo na wengine naana wote duniani hatuwezi fanana mawazo
pia asiangalie nguvu ya opposition yaani aache kila mtu afanye kazi alioahidi ssa yye anataka kumaliza wapinzani ili asipate upinzani 2020 wakati akifanya alichoahidi watanzania watampa 90% ssa why akimbizane nao

magufuli can become the best president wa Tanzania ila kwa style hii hatuelekei kokote zaidi anajichafua na kulichafua taifa
 

Wanajaribu kujibu hoja na lugha ya kizungu kizungu hivi. Eti wanasupport Jubilee kama kisasi hivi!! Siasa za kiafrika ni vioja tu.
[emoji115] The Opposition Leaders in their true selves, oh my God!

Do they realy know that Life is nothing but survival of the fittest. That is one of the fundamentals/basics of life (for all living things). To survive one must stronger than one.

Given that basic ecological law, it is no wonder what politicians strive for, and that is none other than Political Power.

A man with political power plays politics like a game of chess. He/she is the one who has to move a piece on the board. The moved piece only fulfills its role in that position it has been placed. If the piece safeguards the play towards winning, the victory does not go to that piece but to the player.

Unfortunately the opposition leaders, the likes of Msigwa and Lema, are still conducting politics like a child's game of seek and hide. They think people will listen to their woes by making noise, as they have put it, in that interview.

Poor Msigwa and Lema, you have got a long way to be real politicians. Continue with your whistle blowing, in the media or political arenas, with hope that the international community will listen to your rhetorics.

Tunacho shuhudia sasa ni uwezo mkubwa wa kuendesha siasa, kisayansi, aliokuwa nao Rais MAGUFULI. Amewazidi kwa kila hali katika politics and power. Wamabaki kulilia kwenye mitandao na vyombo vya habari (kama hao akina Msigwa na Lema), ati Tanzania hakuna demokrasia. Sijui kama hata hiyo maana halisi ya demokrasia wanaijua, maana uhuru wanaoutaka ndio huo walioutumia wa kuongea huko KTN. Ni aibu kwa mwanasiasa aliyekomaa kutumia shambulizi la Lissu la kiaharifu kuwa mtaji wa kisiasa na kimaslahi.

Watu wengi, hasa wafuasi wa upinzani, wanadai kuwa ni muda tu, kana kwamba huo muda unawasubiri wao tu!!

Liwezekanalo leo lisingoje kesho, wahenga walinena.

MSIGWA na LEMA ACHANENI NA SIASA ZA KITOTO.
 
Bora wamepewa show ya kwa lugha ya Malkia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji23] wangewapa nafasi waongee Kizaramo.. Muda usinge tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…