Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k

msigwa " Uhuru is a kind of president who doesn't lose a sleep when someone criticise him or insult him" ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
msigwa " he allows people to speak their minds" ha ha ha ha ha ha shule muhimu sana
 
msigwa " this thing should spread in the continent" ha ha ha ha ha ha ha
 
msigwa" we can not interfere to to the tume ya uchaguzi" ha ha ha ha ha ha ha kshindwa kutaja tume ya uchaguzi kwa kiingereza
 
msigwa " we have a lot learn from Kenya" dah sijui alikuwa anataka kusema nn ha ha ha ha ha
 
lema " but the the, actually the limit u have I can see is tribal situation" ha ha ha ha ha ha ha ha
 

Pamoja na maelezo haya uliyo yatoa, bado nashindwa kuelewa CDM wakisema mahakama za Tanzania ziko chini ya CCM huku wakipigana vizuri wanashinda kesi. CCM kama chama, kina mapungufu yake, inawezekana ni kweli kama CCM inatumia nguvu zake za kidola kubambika kesi zisizo na kichwa wala miguu ili kuzohofisha CDM au upinzani. Lakini nashindwa kuamini kama mahakama zote na majaji wote wako mfukoni mwa CCM, na ndio maana nikasema kama Lema au CDM wanaona hawajatendewa haki na mahakama ya aina yoyote kwanini hawaendi ngazi nyingine ikiwa mpaka mahakama ya Afrika Mashariki au mahakama ya haki za binadamu ya Afrika. Spika ameeleza utaratibu wa kupata matibabu ya wabunge, lakini CDM (maana ni umamuzi wa CDM na sio Lissu maana alikuwa hajitambui wakati huo) ndio walianza kuja na madai yasio eleweka bila kufanya uhakiki kama kazi hiyo ingeweza kufanyika hapa hapa Tanzania au la. Sipati picha siku CDM wakiwa madarakani wao watakuwa watakatifu na wasitumie njama za aina yoyote kuongeza nguvu ya ngome yao.

Usalama wa Lissu au raia yoyote wa Tanzania ni jambo muhumu, na Tanzania kama nchi ina wajibu wa kulinda raia wake na mali zao panapo wezekana. Lakini tukirudi kwa Lissu, hivi kwa mtu anayehofia usalama wake unafikiri Nairobi watu wabaya wakimtaka Lissu watashindwa kufika? Kama maisha yake hayako salama mbona watoto wake bado wapo huku wanaedelea na maisha yao? Infact familia za viongozi wote wa CDM wapo huku na wanaendelea na maisha yao ya kawaida bila bugudha. Mnapo anaza kuweka lable mbaya kwa vyombo ya serikali eg. mahakama ya CCM, polisi ya CCM, hospitali za CCM, TISS ya CCM, mnajijengea tabaka la kutoaminiaa na vyombo hivyo kiasi kwamba hata mtashindwa kufanyanao kazi. hivi ikitokea siku CDM ikashika dola, mtafukuza kazi wafanyakazi wote wa hizo idara muajiri wapya? maana hicho kitakuwa ni kichekesho cha mwaka.
 
Unashtaki?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wanasiasa wangapi wa Kenya wamepigwa shaba na kuuwawa wewe sympathizer, umewahi waona TBC au media yeyote Tz wakilia lia kama hao vishoia hapo.
Embu kaa pembeni kamanda, unaniaibisha.
sababu hawajawahi kuleta mgonjwa sar cku akiletwa watatoka povu wakiwa huku huku dar ila kma mwanasiasa museveni mbona alikuja dar akatoka povu kuhusu I'd amin na mwisho wa cku akapewa support ya kumtoa yule dikteta

pia ababu namwamba alikuja kwenye kongamano la ACT tafuta video iko youtube alimkaanga sana uhuru na sera za kenya za kibepari ssa kipi kipya hapa???
 
U wanted me to be neutral while I'm ipposing ur motion??? where did i declare that am from chadema or CUF???? since when is opposing a motion of criticizing opposition one becomes supporter of the opposition??

mkuu there is no reason to look for justifications in order to run away from the truth Desmond Tutu once said that neutrality when the oppressed are suffering is siding with the oppressor

have a good day too
 
hakuna udikteta ila sheria??? haya niambie sheria gani inakataza mikutano ya kisiasa eti mpka 2020 nipe hicho kifungu ntaacha kumuita dikteta rasmi leo
 
Oh boy, reread my post and show me where i said you are are supporting chadema or cuf as you mentioned. at least do me tht favour!
 
Oh boy, reread my post and show me where i said you are are supporting chadema or cuf as you mentioned. at least do me tht favour!
If I may assume why are you imposing character assassination for example if I'm raisin a question why should u then mind about my political affiliations??? does it mean if im ccm or chadema then u can neva have answers for my kind??? imean thats impossible in every political motion one has to take sides irrespective ur supportin the political parties involved or not
 
hakuna udikteta ila sheria??? haya niambie sheria gani inakataza mikutano ya kisiasa eti mpka 2020 nipe hicho kifungu ntaacha kumuita dikteta rasmi leo
Ukikubaliana na mimi kwamba kila shughuli ya binadamu ina wakati wake, nitarejea kujibu maswali yako hasa hili la [/]haya niambie sheria gani inakataza mikutano ya kisiasa eti mpka 2020[/I]
 
Ukikubaliana na mimi kwamba kila shughuli ya binadamu ina wakati wake, nitarejea kujibu maswali yako hasa hili la [/]haya niambie sheria gani inakataza mikutano ya kisiasa eti mpka 2020[/I]
ina wakati eeh mbona mheshimiwa Rais anafanya mfano kigoma alimpigia kampeni ndalichako kwa ajili ya 2020 pia pole pole alikuepo kugawa kadi jukwaani kabisa ssa kwanni yye anafanya??

pia unasema kuna wakati wa kila kwahyo unataka kusema waliotunga sheria ya vyama vya siasa hawakujua hilo??ila awamu ya tano ndio imelifaham hilo je kwanni basi msiende bungeni muibadilishe sheria ili wapinzani wakose kujitetea maana zuio la mikutano litakuwepo kisheria
 
Matumaini ya kufikirika kivp wakati wote tunaona bungeni wanavyojenga hoja za kutetea maslahi ya wananchi ila wwe niambie hao CCM wamefanikisha nini hata kimoja toka uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…