kamal Naseeb
Member
- Jul 31, 2015
- 54
- 22
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.Acha uvivu mkuu unaweza Google tu hata humu jf uzi upo wa kongamano la sera ACT ssa ukitaka kubisha endelea kubisha kma ukitaka kuamini its up to you to take it or leave it
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.Acha uvivu mkuu unaweza Google tu hata humu jf uzi upo wa kongamano la sera ACT ssa ukitaka kubisha endelea kubisha kma ukitaka kuamini its up to you to take it or leave it
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.Acha uvivu mkuu unaweza Google tu hata humu jf uzi upo wa kongamano la sera ACT ssa ukitaka kubisha endelea kubisha kma ukitaka kuamini its up to you to take it or leave it
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.Acha uvivu mkuu unaweza Google tu hata humu jf uzi upo wa kongamano la sera ACT ssa ukitaka kubisha endelea kubisha kma ukitaka kuamini its up to you to take it or leave it
ina wakati eeh mbona mheshimiwa Rais anafanya mfano kigoma alimpigia kampeni ndalichako kwa ajili ya 2020 pia pole pole alikuepo kugawa kadi jukwaani kabisa ssa kwanni yye anafanya??/B]
kumbe tatizo ni hilo la wivu. Hivi ni dunia gani ambayo kuna usawa wa 100%. Hata maisha porini ni mwenye nguvu mpishe! Wanaomsuta Rais Magufuli kuwa ni dikteta ni haohao wanawasujudu na kuwapigia magoti wa mataifa makubwa!
pia unasema kuna wakati wa kila kwahyo unataka kusema waliotunga sheria ya vyama vya siasa hawakujua hilo??ila awamu ya tano ndio imelifaham hilo je kwanni basi msiende bungeni muibadilishe sheria ili wapinzani wakose kujitetea maana zuio la mikutano litakuwepo kisheria
Mtu kama wewe, mwenye upeo mkubwa wa kuwaza, kutafakari na kuchambua masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, umenishangaza kuniuliza swali kama hilo.Matumaini ya kufikirika kivp wakati wote tunaona bungeni wanavyojenga hoja za kutetea maslahi ya wananchi ila wwe niambie hao CCM wamefanikisha nini hata kimoja toka uhuru
Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tuMtu kama wewe, mwenye upeo mkubwa wa kuwaza, kutafakari na kuchambua masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, umenishangaza kuniuliza swali kama hilo.
Utanisamehe nami kukuuliza swali ambalo ukilijibu utakuwa umepata jibu ka swali lako, labda kama lilikuwa la kizushi au la kule vijiweni.
Elimu uliyo nayo, hadi kuwa mahiri katika hoja, umeipata wakati wa utawala gani?
Yeah mbowe alifungua kesi akiwa mwanza ila ikapigwa danadana na zuio likahalalishwa na mahakamaIngawa hujajibu swali langu, nitakujibu lako kuhusu Katiba au sheria zinazokataza au kuruhusu siasa wakati wote. Rejea Ibara ya 30(1)na (2) kifungu kidogo cha (a) na (b) cha Katiba ya JMT(1977) kuhusu Mipaka kwa haki na uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu, Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 na Sheria ya 1994 Na.34 ib.6. Na Rais anakula kiapo kuilinda na kuitetea Katiba.
Lakini pia Ibara ya 30(3) inampa mtu au kikundi cha watu haki ya kufungua mashtaka katika mahakama kudai haki/uhuru uliozuiwa.
Maswali ya kujiuliza,
1)Je, upinzani, unaodai Katiba inavunjwa, hawaijui kiasi cha kutokutumia vifungu vinavyowapa haki na uhuru wanaoutaka?
2) Je, siyo uchochezi kwa upinzani kudai kuna udikteta wakati wanavunja kwa makusudi Katiba kwa kutokutumia vifungu halali ila kuvuvuzela mitandaoni na vyombo vya habari ati wataendelea to make noises hadi Jumuia za Kimataifa ziwasikie! Haya basi, Jumuia za Kimataifa zimewasikia, tusubiri hatua zitakazochukuliwa dhidi ya Serikali ya Tanzania.
zitto junior, ushauri wangu, kwa Watanzania tunaoipenda nchi yetu, ni kufanya kazi (fursa ziko nyingi na siyo ajira tu) kwa bidii, nidhamu na weledi, ili kila mtu ajiletee maendeleo yake, ya familia, jamii na nchi kwa ujumla.
KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA na UMOJA NI NGUVU
WAKATI NDIO HUU TUSINGOJE KESHO
Kwa maelezo yako hayo wewe ni kijana wa juzi tu - serengeti boy. Ebu pata nafasi uzunguke Tanzania, hata Wilaya moja tu, uone ukubwa wa nchi hii na mahitaji yake. Hapo ndipo utatambua kwamba hizo kero ulizozitaja, ili zitatuliwe na Serikali, zinahitaji umoja wetu kwa vitendo na wala siyo kwa siasa za majukwaani au operesheni au maandamano.Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu
kwa ufupi elimu yaTZ ipo ICU nakumbuka form six uganda ulikuwa na masomo ya ziada kma kupika kilimo kuranda mbao cjui cherehani na yana mtihani wa taifa kabisa unakuta unamaliza umeiva Kila somo unalochagua kwa combination unakuta ina electives mpka sita kwa ufupi elimu yao kenya na ug inakujenga kuelewa ila ya T Z ya kukariri ndio maana tuna wasomi kibao ila wakipresent mada unashangaa
mkuu reforms zinahitajika kwenye elimu ukizingatia ssa wameleta sera mpya ya elimu ambayo ni purely kiswahili tutafika kweli kwenye elimu kwa staili hiyo??
Duh mbona rwigyema alikuwa anamkandia habyarimana kwenye live TV ya UBC??? john Kerry alimkandia bush kwenye al jazeera pia hard talk ya BBC mpinzani wa lebanon alikua anakandia kuwa serikali yao ni ya kidini tena last week tu ssa kipi kipya kwa msigwa mbona aung san su kyi aliendaga mpaka UN kuishtaki nchi yake !!!Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.
Do I really mind abt ur political affiliations! No way I ca do that for i have no reasons for it!If I may assume why are you imposing character assassination for example if I'm raisin a question why should u then mind about my political affiliations??? does it mean if im ccm or chadema then u can neva have answers for my kind??? imean thats impossible in every political motion one has to take sides irrespective ur supportin the political parties involved or not
unaona ssa umeanza character assasinaton yaani Serengeti boy as if unajua umri Wangu au madarasa ndio yanadetermine umri?? Hivi huwezi jadili mada mpaka uanze kushambulia mtu binafsi ?? mara ukaniita nina chama sahivi nmekua serengeti this is ridiculous!!Kwa maelezo yako hayo wewe ni kijana wa juzi tu - serengeti boy. Ebu pata nafasi uzunguke Tanzania, hata Wilaya moja tu, uone ukubwa wa nchi hii na mahitaji yake. Hapo ndipo utatambua kwamba hizo kero ulizozitaja, ili zitatuliwe na Serikali, zinahitaji umoja wetu kwa vitendo na wala siyo kwa siasa za majukwaani au operesheni au maandamano.
KUPANGA NI KUCHAGUA na USIONE VINAELEA VIMEUNDWA
Kwa maelezo yako hayo zitto junior, inathibitisha kuwa upinzani Tanzania haujawa tayari kukabidhiwa Serikali na viongozi wake ni wachanga kisiasa na wanaendesha siasa kama watoto (kulalama na kulilia). Wakushinda kesi mahakamani ati imetenda haki, wakishindwa wanalilia, wakati wana wanasheria wanaodai ni mabingwa wa mabingwa, du!Yeah mbowe alifungua kesi akiwa mwanza ila ikapigwa danadana na zuio likahalalishwa na mahakama
kwa ufupi aliezuia anafanya mikutano ila mpinzani anaambiwa ni muda wa kazi na ukiinsist polisi watazuia kwa sababu za kuokoteza mfano intelijentsia hivyo wanajua ukienda shtaki polisi mahakamani hawawezi pindua maamuzi ya chombo nyeti kma polisi upo hapo/?
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.unaona ssa umeanza character assasinaton yaani Serengeti boy as if unajua umri Wangu au madarasa ndio yanadetermine umri?? Hivi huwezi jadili mada mpaka uanze kushambulia mtu binafsi ?? mara ukaniita nina chama sahivi nmekua serengeti this is ridiculous!!
...
Wanalialia salsa ulitaka washike bunduki kma Alshabaab ama ulitaka wafanyeje?? maana najua wakiwa extremists ndio mtaheshimiana kma kenya wanavyomheshim odinga!Kwa maelezo yako hayo zitto junior, inathibitisha kuwa upinzani Tanzania haujawa tayari kukabidhiwa Serikali na viongozi wake ni wachanga kisiasa na wanaendesha siasa kama watoto (kulalama na kulilia). Wakushinda kesi mahakamani ati imetenda haki, wakishindwa wanalilia, wakati wana wanasheria wanaodai ni mabingwa wa mabingwa, du!
Kwa spidi ya Rais Magufuli kuimarisha uchumi, hakika upinzani usubiri amalize muda wake wa miaka 10 kikatiba
Hata viongozi wa upinzani wakiweza, kuanzia sasa, kushindana na Rais, si kwa maneno ya kulaumu uongozi wake, ila kwa vitendo vya kuleta mageuzi ya kiuchumi, katika majimbo yao, bado hawataweza kwa kuwa wengi wao wameingia kwenye siasa, kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Lakini, mwenendo wa Rais Magufuli, umebadilisha kabisa siasa, kutoka ya majukwaani (maneno maneno, ulaghai na ahadi hewa - SIHASA) kuwa siasa ya hapa kazi tu.
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.
Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata diviu
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.
Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu
Wanalialia salsa ulitaka washike bunduki kma Alshabaab ama ulitaka wafanyeje?? maana najua wakiwa extremists ndio mtaheshimiana kma kenya wanavyomheshim odinga! Mtu akishindwa hoja hutumia nguvu. Lakini nikuulize, wewe utachukua silaha kwa sababu Msigwa, Lema, na viongozi wenzao wa upinzani wamenyima fursa ya siasa za mikutano ya hadhara? Hao kuwa Wabunge, wewe na familia yako mmenufaika na nini? Hadi sasa wamefanya kitu gani cha faida kwako, au jamii, kuliko Serikali zaidi ya kujaribu kufitinisha Serikali na raia?
Pia wwe unashida moja kma walivyo wapiga vigeregere wengine yaani unapomkosoa magufuli wanakimbilia kuongelea mafanikio yake Ada ya mungwana ni vitendo[COLOR] ssa kwa staili hii tutafika mfano hapa tunajadili udikteta wa kuzuia mikutano nilikujibu ghafla mnaanza ooh kainua uchumi sijui hapa kazi tu ....... so what??? yaani kuna uhusiano gani wa malalamiko ya upinzani na mafanikio ya magufuli??? falsafa yake ya Hapa Kazitu#, kwa vitendo na matokeo yake chanya kuonekana, yanawatia kiwewe viongozi wa upinzani. Ushahidi ni hicho unachodai ati malalamiko ya upinzani! Wapinzani wamebaki kuwa debe tupu haliachi kutika na kama Mfa maji haachi kutapatapa[/B]
...
Pamoja na maelezo haya uliyo yatoa, bado nashindwa kuelewa CDM wakisema mahakama za Tanzania ziko chini ya CCM huku wakipigana vizuri wanashinda kesi. CCM kama chama, kina mapungufu yake, inawezekana ni kweli kama CCM inatumia nguvu zake za kidola kubambika kesi zisizo na kichwa wala miguu ili kuzohofisha CDM au upinzani. Lakini nashindwa kuamini kama mahakama zote na majaji wote wako mfukoni mwa CCM, na ndio maana nikasema kama Lema au CDM wanaona hawajatendewa haki na mahakama ya aina yoyote kwanini hawaendi ngazi nyingine ikiwa mpaka mahakama ya Afrika Mashariki au mahakama ya haki za binadamu ya Afrika. Spika ameeleza utaratibu wa kupata matibabu ya wabunge, lakini CDM (maana ni umamuzi wa CDM na sio Lissu maana alikuwa hajitambui wakati huo) ndio walianza kuja na madai yasio eleweka bila kufanya uhakiki kama kazi hiyo ingeweza kufanyika hapa hapa Tanzania au la. Sipati picha siku CDM wakiwa madarakani wao watakuwa watakatifu na wasitumie njama za aina yoyote kuongeza nguvu ya ngome yao.
Usalama wa Lissu au raia yoyote wa Tanzania ni jambo muhumu, na Tanzania kama nchi ina wajibu wa kulinda raia wake na mali zao panapo wezekana. Lakini tukirudi kwa Lissu, hivi kwa mtu anayehofia usalama wake unafikiri Nairobi watu wabaya wakimtaka Lissu watashindwa kufika? Kama maisha yake hayako salama mbona watoto wake bado wapo huku wanaedelea na maisha yao? Infact familia za viongozi wote wa CDM wapo huku na wanaendelea na maisha yao ya kawaida bila bugudha. Mnapo anaza kuweka lable mbaya kwa vyombo ya serikali eg. mahakama ya CCM, polisi ya CCM, hospitali za CCM, TISS ya CCM, mnajijengea tabaka la kutoaminiaa na vyombo hivyo kiasi kwamba hata mtashindwa kufanyanao kazi. hivi ikitokea siku CDM ikashika dola, mtafukuza kazi wafanyakazi wote wa hizo idara muajiri wapya? maana hicho kitakuwa ni kichekesho cha mwaka.