Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k

sema hii discussion ingekua kwa kiswahili hawa jamaa wangeongea kupita maelezo [emoji3][emoji3]
 
Acha uvivu mkuu unaweza Google tu hata humu jf uzi upo wa kongamano la sera ACT ssa ukitaka kubisha endelea kubisha kma ukitaka kuamini its up to you to take it or leave it
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

ina wakati eeh mbona mheshimiwa Rais anafanya mfano kigoma alimpigia kampeni ndalichako kwa ajili ya 2020 pia pole pole alikuepo kugawa kadi jukwaani kabisa ssa kwanni yye anafanya??/B]

kumbe tatizo ni hilo la wivu. Hivi ni dunia gani ambayo kuna usawa wa 100%. Hata maisha porini ni mwenye nguvu mpishe! Wanaomsuta Rais Magufuli kuwa ni dikteta ni haohao wanawasujudu na kuwapigia magoti wa mataifa makubwa!

pia unasema kuna wakati wa kila kwahyo unataka kusema waliotunga sheria ya vyama vya siasa hawakujua hilo??ila awamu ya tano ndio imelifaham hilo je kwanni basi msiende bungeni muibadilishe sheria ili wapinzani wakose kujitetea maana zuio la mikutano litakuwepo kisheria

Ingawa hujajibu swali langu, nitakujibu lako kuhusu Katiba au sheria zinazokataza au kuruhusu siasa wakati wote. Rejea Ibara ya 30(1)na (2) kifungu kidogo cha (a) na (b) cha Katiba ya JMT(1977) kuhusu Mipaka kwa haki na uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu, Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 na Sheria ya 1994 Na.34 ib.6. Na Rais anakula kiapo kuilinda na kuitetea Katiba.

Lakini pia Ibara ya 30(3) inampa mtu au kikundi cha watu haki ya kufungua mashtaka katika mahakama kudai haki/uhuru uliozuiwa.

Maswali ya kujiuliza,
1)Je, upinzani, unaodai Katiba inavunjwa, hawaijui kiasi cha kutokutumia vifungu vinavyowapa haki na uhuru wanaoutaka?
2) Je, siyo uchochezi kwa upinzani kudai kuna udikteta wakati wanavunja kwa makusudi Katiba kwa kutokutumia vifungu halali ila kuvuvuzela mitandaoni na vyombo vya habari ati wataendelea to make noises hadi Jumuia za Kimataifa ziwasikie!
Haya basi, Jumuia za Kimataifa zimewasikia, tusubiri hatua zitakazochukuliwa dhidi ya Serikali ya Tanzania
.

zitto junior, ushauri wangu, kwa Watanzania tunaoipenda nchi yetu, ni kufanya kazi (fursa ziko nyingi na siyo ajira tu) kwa bidii, nidhamu na weledi, ili kila mtu ajiletee maendeleo yake, ya familia, jamii na nchi kwa ujumla.

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA na UMOJA NI NGUVU

WAKATI NDIO HUU TUSINGOJE KESHO
 
Matumaini ya kufikirika kivp wakati wote tunaona bungeni wanavyojenga hoja za kutetea maslahi ya wananchi ila wwe niambie hao CCM wamefanikisha nini hata kimoja toka uhuru
Mtu kama wewe, mwenye upeo mkubwa wa kuwaza, kutafakari na kuchambua masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, umenishangaza kuniuliza swali kama hilo.

Utanisamehe nami kukuuliza swali ambalo ukilijibu utakuwa umepata jibu ka swali lako, labda kama lilikuwa la kizushi au la kule vijiweni.

Elimu uliyo nayo, hadi kuwa mahiri katika hoja, umeipata wakati wa utawala gani?
 
Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu

kwa ufupi elimu yaTZ ipo ICU nakumbuka form six uganda ulikuwa na masomo ya ziada kma kupika kilimo kuranda mbao cjui cherehani na yana mtihani wa taifa kabisa unakuta unamaliza umeiva Kila somo unalochagua kwa combination unakuta ina electives mpka sita kwa ufupi elimu yao kenya na ug inakujenga kuelewa ila ya T Z ya kukariri ndio maana tuna wasomi kibao ila wakipresent mada unashangaa

mkuu reforms zinahitajika kwenye elimu ukizingatia ssa wameleta sera mpya ya elimu ambayo ni purely kiswahili tutafika kweli kwenye elimu kwa staili hiyo??
 
Ingawa hujajibu swali langu, nitakujibu lako kuhusu Katiba au sheria zinazokataza au kuruhusu siasa wakati wote. Rejea Ibara ya 30(1)na (2) kifungu kidogo cha (a) na (b) cha Katiba ya JMT(1977) kuhusu Mipaka kwa haki na uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu, Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 na Sheria ya 1994 Na.34 ib.6. Na Rais anakula kiapo kuilinda na kuitetea Katiba.

Lakini pia Ibara ya 30(3) inampa mtu au kikundi cha watu haki ya kufungua mashtaka katika mahakama kudai haki/uhuru uliozuiwa.

Maswali ya kujiuliza,
1)Je, upinzani, unaodai Katiba inavunjwa, hawaijui kiasi cha kutokutumia vifungu vinavyowapa haki na uhuru wanaoutaka?
2) Je, siyo uchochezi kwa upinzani kudai kuna udikteta wakati wanavunja kwa makusudi Katiba kwa kutokutumia vifungu halali ila kuvuvuzela mitandaoni na vyombo vya habari ati wataendelea to make noises hadi Jumuia za Kimataifa ziwasikie!
Haya basi, Jumuia za Kimataifa zimewasikia, tusubiri hatua zitakazochukuliwa dhidi ya Serikali ya Tanzania
.

zitto junior, ushauri wangu, kwa Watanzania tunaoipenda nchi yetu, ni kufanya kazi (fursa ziko nyingi na siyo ajira tu) kwa bidii, nidhamu na weledi, ili kila mtu ajiletee maendeleo yake, ya familia, jamii na nchi kwa ujumla.

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA na UMOJA NI NGUVU

WAKATI NDIO HUU TUSINGOJE KESHO
Yeah mbowe alifungua kesi akiwa mwanza ila ikapigwa danadana na zuio likahalalishwa na mahakama

kwa ufupi aliezuia anafanya mikutano ila mpinzani anaambiwa ni muda wa kazi na ukiinsist polisi watazuia kwa sababu za kuokoteza mfano intelijentsia hivyo wanajua ukienda shtaki polisi mahakamani hawawezi pindua maamuzi ya chombo nyeti kma polisi upo hapo/?
 
Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu

kwa ufupi elimu yaTZ ipo ICU nakumbuka form six uganda ulikuwa na masomo ya ziada kma kupika kilimo kuranda mbao cjui cherehani na yana mtihani wa taifa kabisa unakuta unamaliza umeiva Kila somo unalochagua kwa combination unakuta ina electives mpka sita kwa ufupi elimu yao kenya na ug inakujenga kuelewa ila ya T Z ya kukariri ndio maana tuna wasomi kibao ila wakipresent mada unashangaa

mkuu reforms zinahitajika kwenye elimu ukizingatia ssa wameleta sera mpya ya elimu ambayo ni purely kiswahili tutafika kweli kwenye elimu kwa staili hiyo??
Kwa maelezo yako hayo wewe ni kijana wa juzi tu - serengeti boy. Ebu pata nafasi uzunguke Tanzania, hata Wilaya moja tu, uone ukubwa wa nchi hii na mahitaji yake. Hapo ndipo utatambua kwamba hizo kero ulizozitaja, ili zitatuliwe na Serikali, zinahitaji umoja wetu kwa vitendo na wala siyo kwa siasa za majukwaani au operesheni au maandamano.

KUPANGA NI KUCHAGUA na USIONE VINAELEA VIMEUNDWA
 
Bwana Zitto,hiyo ilikuwa indoor meeting, hakusema hayo akiwa kwenye Media au kwenye jukwaa,tafauti na wapumbavu hao wa Chadema.
Duh mbona rwigyema alikuwa anamkandia habyarimana kwenye live TV ya UBC??? john Kerry alimkandia bush kwenye al jazeera pia hard talk ya BBC mpinzani wa lebanon alikua anakandia kuwa serikali yao ni ya kidini tena last week tu ssa kipi kipya kwa msigwa mbona aung san su kyi aliendaga mpaka UN kuishtaki nchi yake !!!

mkuu unapoumizwa sana na huna msaada ndani ni lazma utatoka nje ili upate support
 
If I may assume why are you imposing character assassination for example if I'm raisin a question why should u then mind about my political affiliations??? does it mean if im ccm or chadema then u can neva have answers for my kind??? imean thats impossible in every political motion one has to take sides irrespective ur supportin the political parties involved or not
Do I really mind abt ur political affiliations! No way I ca do that for i have no reasons for it!

The reason i withdrew is because the conversation has turned into a political matter! And I have put it clear that I'm not a politician & have no political ties!

Having said this doesn't mean I'm referring u as a chadema, ccm, cuf or any other party member. I'm only considering you as a person who can discuss politics! Nevertheless, don't mind if it's not tht way, just give it a punch and move on!
 
Kwa maelezo yako hayo wewe ni kijana wa juzi tu - serengeti boy. Ebu pata nafasi uzunguke Tanzania, hata Wilaya moja tu, uone ukubwa wa nchi hii na mahitaji yake. Hapo ndipo utatambua kwamba hizo kero ulizozitaja, ili zitatuliwe na Serikali, zinahitaji umoja wetu kwa vitendo na wala siyo kwa siasa za majukwaani au operesheni au maandamano.

KUPANGA NI KUCHAGUA na USIONE VINAELEA VIMEUNDWA
unaona ssa umeanza character assasinaton yaani Serengeti boy as if unajua umri Wangu au madarasa ndio yanadetermine umri?? Hivi huwezi jadili mada mpaka uanze kushambulia mtu binafsi ?? mara ukaniita nina chama sahivi nmekua serengeti this is ridiculous!!

Anyway nmezunguka sana Tanzania kuanzia horohoro mpaka nyarubanda au kuazia kaboya mpaka nzovwe na nlichoshuhudia ni umaskini mkubwa sana na uozo kwenye kila sekta na sio kwamba watu hawajitumi ila wanakatishwa tamaa na sera mbovu za Taifa yenye vipaumbele vibovu

mfano wanataka iwe nchi ya viwanda wakati kilimo kipo ICU na hata skilled manpower ya kufanyia kazi viwandani watu hawana due to poor education system yaani unataka ufanye kazi kiwandani hku hata test tube hujawahi iona si tutaishia kuwa vibarua tu!!

anyway shida ya nchi yetu ni vipaumbele mfano reli sio crucial sana kwa ssa maana usafiri sio priority kwa uxhumi wetu maana barabara ni nyingi pia reli ipo na mizigo imepungua bandarini hyo pesa wangesema waipeleke vijijini kuchimba maji kila kijiji ili waanze kilimo cha umwagiliaji waachane na kusubiri mvua tu ila who cares!!

tunasingizia hatuwezi himili hisa kwenye makampuni ya madini ilihali mnamudu kununua bombardier na kujenga airport kijijini chato hivi madini na ndege ipi zinazungusha pesa haraka????

Hapa ni vipaumbele mkuu sio ushirikano ama nni kma nchi ina dira mbovu hatutafika kokote
 
Yeah mbowe alifungua kesi akiwa mwanza ila ikapigwa danadana na zuio likahalalishwa na mahakama

kwa ufupi aliezuia anafanya mikutano ila mpinzani anaambiwa ni muda wa kazi na ukiinsist polisi watazuia kwa sababu za kuokoteza mfano intelijentsia hivyo wanajua ukienda shtaki polisi mahakamani hawawezi pindua maamuzi ya chombo nyeti kma polisi upo hapo/?
Kwa maelezo yako hayo zitto junior, inathibitisha kuwa upinzani Tanzania haujawa tayari kukabidhiwa Serikali na viongozi wake ni wachanga kisiasa na wanaendesha siasa kama watoto (kulalama na kulilia). Wakushinda kesi mahakamani ati imetenda haki, wakishindwa wanalilia, wakati wana wanasheria wanaodai ni mabingwa wa mabingwa, du!

Kwa spidi ya Rais Magufuli kuimarisha uchumi, hakika upinzani usubiri amalize muda wake wa miaka 10 kikatiba

Hata viongozi wa upinzani wakiweza, kuanzia sasa, kushindana na Rais, si kwa maneno ya kulaumu uongozi wake, ila kwa vitendo vya kuleta mageuzi ya kiuchumi, katika majimbo yao, bado hawataweza kwa kuwa wengi wao wameingia kwenye siasa, kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Lakini, mwenendo wa Rais Magufuli, umebadilisha kabisa siasa, kutoka ya majukwaani (maneno maneno, ulaghai na ahadi hewa - SIHASA) kuwa siasa ya hapa kazi tu.
 
unaona ssa umeanza character assasinaton yaani Serengeti boy as if unajua umri Wangu au madarasa ndio yanadetermine umri?? Hivi huwezi jadili mada mpaka uanze kushambulia mtu binafsi ?? mara ukaniita nina chama sahivi nmekua serengeti this is ridiculous!!
...
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.

Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu
 
Kwa maelezo yako hayo zitto junior, inathibitisha kuwa upinzani Tanzania haujawa tayari kukabidhiwa Serikali na viongozi wake ni wachanga kisiasa na wanaendesha siasa kama watoto (kulalama na kulilia). Wakushinda kesi mahakamani ati imetenda haki, wakishindwa wanalilia, wakati wana wanasheria wanaodai ni mabingwa wa mabingwa, du!

Kwa spidi ya Rais Magufuli kuimarisha uchumi, hakika upinzani usubiri amalize muda wake wa miaka 10 kikatiba

Hata viongozi wa upinzani wakiweza, kuanzia sasa, kushindana na Rais, si kwa maneno ya kulaumu uongozi wake, ila kwa vitendo vya kuleta mageuzi ya kiuchumi, katika majimbo yao, bado hawataweza kwa kuwa wengi wao wameingia kwenye siasa, kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Lakini, mwenendo wa Rais Magufuli, umebadilisha kabisa siasa, kutoka ya majukwaani (maneno maneno, ulaghai na ahadi hewa - SIHASA) kuwa siasa ya hapa kazi tu.
Wanalialia salsa ulitaka washike bunduki kma Alshabaab ama ulitaka wafanyeje?? maana najua wakiwa extremists ndio mtaheshimiana kma kenya wanavyomheshim odinga!

Pia wwe unashida moja kma walivyo wapiga vigeregere wengine yaani unapomkosoa magufuli wanakimbilia kuongelea mafanikio yake ssa kwa staili hii tutafika mfano hapa tunajadili udikteta wa kuzuia mikutano ghafla mnaanza ooh kainua uchumi sijui hapa kazi tu ....... so what??? yaani kuna uhusiano gani wa malalamiko ya upinzani na mafanikio ya magufuli???

ningeomba stick kwa hoja maana sidhani kma chadema wangepata majimbo yote yale kma wabunge wao wangekuwa wadhaifu maana kma kuisimamia serikali wameisimamia haswa ili miradi itekelezwe ssa kipi ambacho kipya??

halo ccm ambao ndio wana serikali kwa maana hyo ndio wapo kwa maslahi yanchi?? je kipi walichoahidi kwa miaka 50 hata kimoja wametekeleza?
maisha bora yakwapi

kilimo kwanza kimwapi

BRN JE

viwanda vikwapi??
 
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.

Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata diviu
Bandiko lako, hili hapo chini, linathibitisha umesoma na kuhitimu shule na chuo majuzi tu, labda kama umeelezea hali ya elimu kwa sasa, na siyo wewe mwenyewe.

Nlikuwa nandoto ya kusoma sayansi ila nkaanza primary kiswahili ghafla sekondari English duh shule hazina maabara walimu hawaji kufundisha maana hawana morali sababu wanaidai serikali malimbikizo ya mishahara ukiangalia hakuna maktaba wala mtaala unaokuwezesha kujitegemea kifikra baada ya kugraduate chuo kikuu nikaona ya nni maana hata performance ilikuwa inashuka nikahamia kusoma kenya then chuo kampala labda niseme tu elimu nimeipata nje ya Tanzania ndio maana hata ila ningebaki TZ huenda ningepata division 0 na ningeishia kukaa kijiweni tu

Na ndio maana nkasema kuna uhusiano gani kati ya madarasa na umri?? kwahyo kma nmezaliwa jana hyo hoja yangu haina mashiko kisa umri wa mtoa mada?? acha dharau mkuu hapa tunatumia ID feki so hujui nani mtoto nani mzee hivyo jikite kwenye mada mbona mmi sijahoji kma ni mzee au kma una pHD??? tujifunze kujibu hoja kma cjui kitu nieleweshe ila dharau wakati hujui status ya mtu ni kuvuruga mjadala
 
Wanalialia salsa ulitaka washike bunduki kma Alshabaab ama ulitaka wafanyeje?? maana najua wakiwa extremists ndio mtaheshimiana kma kenya wanavyomheshim odinga! Mtu akishindwa hoja hutumia nguvu. Lakini nikuulize, wewe utachukua silaha kwa sababu Msigwa, Lema, na viongozi wenzao wa upinzani wamenyima fursa ya siasa za mikutano ya hadhara? Hao kuwa Wabunge, wewe na familia yako mmenufaika na nini? Hadi sasa wamefanya kitu gani cha faida kwako, au jamii, kuliko Serikali zaidi ya kujaribu kufitinisha Serikali na raia?

Pia wwe unashida moja kma walivyo wapiga vigeregere wengine yaani unapomkosoa magufuli wanakimbilia kuongelea mafanikio yake Ada ya mungwana ni vitendo[COLOR] ssa kwa staili hii tutafika mfano hapa tunajadili udikteta wa kuzuia mikutano nilikujibu ghafla mnaanza ooh kainua uchumi sijui hapa kazi tu ....... so what??? yaani kuna uhusiano gani wa malalamiko ya upinzani na mafanikio ya magufuli??? falsafa yake ya Hapa Kazitu#, kwa vitendo na matokeo yake chanya kuonekana, yanawatia kiwewe viongozi wa upinzani. Ushahidi ni hicho unachodai ati malalamiko ya upinzani! Wapinzani wamebaki kuwa debe tupu haliachi kutika na kama Mfa maji haachi kutapatapa[/B]
...

TUJITAMBUE, WAKATI NDIO HUU
 
Pamoja na maelezo haya uliyo yatoa, bado nashindwa kuelewa CDM wakisema mahakama za Tanzania ziko chini ya CCM huku wakipigana vizuri wanashinda kesi. CCM kama chama, kina mapungufu yake, inawezekana ni kweli kama CCM inatumia nguvu zake za kidola kubambika kesi zisizo na kichwa wala miguu ili kuzohofisha CDM au upinzani. Lakini nashindwa kuamini kama mahakama zote na majaji wote wako mfukoni mwa CCM, na ndio maana nikasema kama Lema au CDM wanaona hawajatendewa haki na mahakama ya aina yoyote kwanini hawaendi ngazi nyingine ikiwa mpaka mahakama ya Afrika Mashariki au mahakama ya haki za binadamu ya Afrika. Spika ameeleza utaratibu wa kupata matibabu ya wabunge, lakini CDM (maana ni umamuzi wa CDM na sio Lissu maana alikuwa hajitambui wakati huo) ndio walianza kuja na madai yasio eleweka bila kufanya uhakiki kama kazi hiyo ingeweza kufanyika hapa hapa Tanzania au la. Sipati picha siku CDM wakiwa madarakani wao watakuwa watakatifu na wasitumie njama za aina yoyote kuongeza nguvu ya ngome yao.

Usalama wa Lissu au raia yoyote wa Tanzania ni jambo muhumu, na Tanzania kama nchi ina wajibu wa kulinda raia wake na mali zao panapo wezekana. Lakini tukirudi kwa Lissu, hivi kwa mtu anayehofia usalama wake unafikiri Nairobi watu wabaya wakimtaka Lissu watashindwa kufika? Kama maisha yake hayako salama mbona watoto wake bado wapo huku wanaedelea na maisha yao? Infact familia za viongozi wote wa CDM wapo huku na wanaendelea na maisha yao ya kawaida bila bugudha. Mnapo anaza kuweka lable mbaya kwa vyombo ya serikali eg. mahakama ya CCM, polisi ya CCM, hospitali za CCM, TISS ya CCM, mnajijengea tabaka la kutoaminiaa na vyombo hivyo kiasi kwamba hata mtashindwa kufanyanao kazi. hivi ikitokea siku CDM ikashika dola, mtafukuza kazi wafanyakazi wote wa hizo idara muajiri wapya? maana hicho kitakuwa ni kichekesho cha mwaka.

..kilichomtokea Godbless Lema mpaka akakaa mahabusu miezi 5 ni uthibitisho kwamba wako wanasheria wa serikali na mahakimu ambao ni wahuni wasiozingatia maadili na miiko ya dhamana walizopewa.

..mazingira hayo ndiyo yanazua malalamiko kwamba mhimili wetu wa Mahakama umetekwa nyara na CCM na hautendi haki kwa wapinzani.

..ushauri wako kuwa CDM wapeleke malalamiko yao ktk mahakama kama za East African Comm,AU,... ulishazingatiwa. kwa kumbukumbu zangu CDM walipeleka shauri la zuio la mikutano ya kisiasa ktk mahakama ya EAC.

..Kuhusu CCM kutuma wauaji Nairobi kumshambulia TL ujue hapo mtakuwa mmetangaza vita na Kenya. Najua vijana mna ideas nyingi siku hizi lakini ni bora huu uhuni ukafanyika humuhumu Tz kuliko kuanzisha ugomvi na mataifa mengine.

..Mwisho umeuliza kuhusu mahusiano ya CDM na vyombo mbalimbali vya dola iwapo CDM wataingia madarakani. Kinachopaswa kufanyika ni kuvielekeza vyombo vya dola kutenda haki na watumishi wa vyombo hivyo wamekula kiapo kutenda haki. Hata Mwalimu Nyerere alipoingia madarakani mwaka 1961 hakuwatimua kazi mahakimu, polisi, au wanajeshi, waliokuwa wakitumikia serikali ya Muingereza. Mzee Mandela naye alirithi vyombo mahakama na vyombo vya dola vya utawala wa makaburu, hakuwatimua mtu kazi, bali alivirekebisha vyombo hivyo.
 
Back
Top Bottom