Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 562
Duh mbona rwigyema alikuwa anamkandia habyarimana kwenye live TV ya UBC??? john Kerry alimkandia bush kwenye al jazeera pia hard talk ya BBC mpinzani wa lebanon alikua anakandia kuwa serikali yao ni ya kidini tena last week tu ssa kipi kipya kwa msigwa mbona aung san su kyi aliendaga mpaka UN kuishtaki nchi yake !!!
mkuu unapoumizwa sana na huna msaada ndani ni lazma utatoka nje ili upate support
Ni kweli na Lissu amesaidia sana kupatikana uwanja wa kusemea maana ukiwa TZ husikilizwi na walioko nje. Naamini wigo wa kupiga kelele (making noise) utapanuka Lissu atakapopelekwa Ulaya au Marekani!Duh mbona rwigyema alikuwa anamkandia habyarimana kwenye live TV ya UBC??? john Kerry alimkandia bush kwenye al jazeera pia hard talk ya BBC mpinzani wa lebanon alikua anakandia kuwa serikali yao ni ya kidini tena last week tu ssa kipi kipya kwa msigwa mbona aung san su kyi aliendaga mpaka UN kuishtaki nchi yake !!!
mkuu unapoumizwa sana na huna msaada ndani ni lazma utatoka nje ili upate support
Kila la kheri!