Tanzanian MPs want government to pull out of EAC single customs territory

Tanzanian MPs want government to pull out of EAC single customs territory

At least saiv kwa google map kuna meli kama saba dar port.tofaut na wiki tatu au nne zilizopita,kulikuwa na meli 4 hadi nikaogopa
 
Upande muhimu zaidi kwa tanzania kwa soko la congo ni kalemiye,bukavu,goma na maeneo ya jirani.
Sababu kiuhalisia beira to lubumbashi ni km 1580 wakati dar lubumbashi ni kama 2039.mfanyabiashara anasave zaid ya km 400 akitumia beira badala ya dar.ila atakutana na blocks kwa nchi zaidi ya 3 ndio aingie congo kitu ambacho nacho kinakera.
 
Lakini napo nchi ya congo ina bandari ya boma upande wa magharibi.nadhan upande wa barabara mpaka lubumbashi ndio itakuwa mbaya.lakin tofaut na hapo wacongo wanaweza tumia bandar yao ya boma.kwani distance between boma to lubumbashi ni kama km 1700 na anakuwa huru nchini mwao.wakati beira lubumbashi kama 1580 iv lakin unapita zaidi ya nchi tatu.
 
Its a matter of time lubumbashi wataanza kutumia boma port iliopo kwao congo wakirekebisha infrastructure zao.ila kwa goma itakuwa ngumu kutumia bandar ya boma port maana ya dar ni karibu kwa zaid ya km1000
 
Now if reason given are effecting Dar port why Mombasa port is thriving and is subjected to the same EAC custom union rules ?
 
Now if reason given are effecting Dar port why Mombasa port is thriving and is subjected to the same EAC custom union rules ?
Mombasa port affecting dar port due to northern tanzania increase the use of it.na reason is simple mombasa to arusha moshi distance is shorter than from dar.solution kwa tanzania lets improve tanga port you wil not see tanzania cargo pass through mombasa.
 
I also thought of that. It could be a valid point, now that inajengwa multinational highway ya Arusha-Holili-Voi-Mombasa
 
Back
Top Bottom