Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning

Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari mojawapo kikubwa cha wale mabeberu au sometimes washirika wa maendeleo naona wanautolea macho uchaguzi wetu. Twendeni taratibu..tusitengeneze Zimbabwe yetu hapa EA

740x-1.jpg

Tundu Lissu

Someni wenyewe hapa kwenye link

Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate
 
Heri wanaoitwa mabeberu kuliko CCM.

Unajimilikisha mahekari ya ardhi alafu unaacha wananchi wanagombania ardhi kidogo iliyobaki.

Huu ukabaila ni sawa tu na huo unaoitwa ubeberu.
 
Wanaitwa mabeberu au mabwana wa CCM.
 
Maccm ndio mabeberu yenyewe yanainyonya nchi kimafia kabisa.....
 
Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning

Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari mojawapo kikubwa cha wale mabeberu au sometimes washirika wa maendeleo naona wanautolea macho uchaguzi wetu. Twendeni taratibu..tusitengeneze Zimbabwe yetu hapa EA

View attachment 1588600
Tundu Lissu

Someni wenyewe hapa kwenye link

Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate
Kikwete, Kinana, Nape na January Makamba ndio walituchongea hiki Kinyago hivyo wana wajibu wa kukigeuza kuni
 
Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning

Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari mojawapo kikubwa cha wale mabeberu au sometimes washirika wa maendeleo naona wanautolea macho uchaguzi wetu. Twendeni taratibu..tusitengeneze Zimbabwe yetu hapa EA

View attachment 1588600
Tundu Lissu

Someni wenyewe hapa kwenye link

Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate
Mungu wabariki Wazungu
 
Back
Top Bottom