Tanzanian president fires mining minister and chief of state-run agency


Hizo nyuzi zote za nyumbu wasiolitakia mema taifa, wapinga maendeleo. Ndio maana huoni nikileta habari za Raila maana najua anapinga juhudi zote za Uhuru.
 
Asante kwa taarifa. Wakenya mnfuatilia sana mambo ya tz

Binafsi kabla sijaingia Tanzania nilikua sijui chochote kuhusu nchi yenu zaidi ya yale tulisoma kwenye historia, japo pia nilikua nafahamu bongo flava, labda na mambo ya kiuganganga maana Kenya kuna mabango mengi sana yanatangaza waganga kutoka Tanzania.

Hiyo ndio taswira ya Mkenya wa kawaida kuhusu Tanzania, wengi huwa hatufuatilii kabisa na wale tunaofuatilia ni ambao tumekuja huko na aidha kufanya kazi au biashara, inatubidi kufuatilia ili kujua upepo unaelekea wapi katika uwekezaji.
 

Wale wanaolia lia walikuwa ni wapiga dili wengine walikuwa bandarini wengine BoT na sehemu nyingine nyingi. Sasa JPM kafunga kila mahala jamaa wamechanganyikiwa, wamepigika sana.
 
Muhongo ni miongoni mwa watu ninaowaamini sana,
Mara nyingi huongea facta tu, sio blablaa

Lakini kuna mambo huwa anabugi sana, mambo nyeti yanayogusa maslahi mapana ya Taifa,
Haya ni madhara ya kukalili vitini vya notes za Wazungu sana pasi ya kujichanganya na maisha na kujifunza maisha kwa upana wake.

The likes ni Kina prof.Tibaijuka..Last time alinikera sana kwenye ile scandal ya account ya ESCROW,
Alisema zile pesa zote kwenye ile acount ilikuwa ni Mali ya IPTL, na sio Mali ya Watanzania.
Ikathibitika alikuwa mwongo.
Hilo likapita.

Pamoja na kuwa amefanya kazi Nzuri kwenye huu mradi wa Umeme Vijijini (REA) na bomba la Mafuta ghafi la Uganda,

Hakuwa responsible kwa upeotevu huu wa trillions of Money,
Zimepigwa huku akiwa anaona na wakati wote amekuwa akisimama kwa hawa wazungu kwa kisingizio cha Sheria/Mikataba iliyosainiwa awali,
He has never been a proactive Minister,
Yakimtokea puani namna hii analeta excuses.
Huyu ndie alituambia hatuwezi kuweka kinu hapa kwani hatuna uwezo na Hatuna Umeme na nchi nyingi duniani husafirisha mchanga hivyo tuendelee tu kusafirisha mchanga kwenda nje na tuendelee kupigwa.

Huyu ndiye aliwanyima Kina Mengi vitalu vya kutafuta gesi akidai hawana uwezo wa kifedha kufanya exploration.

He is good or whatever, Aende tu, nchi hii ina watu 50mn, tutapata wa kujaza nafasi yake.
 
''Mipango yetu ni kwamba ifikapo mwaka 2014 tayari tutakuwa na umeme wa ziada kiasi cha MW 500 ambao tutauuza nje ya nchi.''
Mkuu, umesema prof huwa anaongea fact, sio blablaa, Je na hiyo hapo juu ni fact?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…