kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Hehehehe!! Haya bwana, kwa jinsi mlivyo makajanja wengi kwa kweli Magu naona atawaumiza sana kabla hatamu yake kuisha, nafuatilia kule jukwa la siasa mnafungua nyuzi kila siku kilio. Hebu ona hizi hapa chini, ni kilio kwa kwenda mbele
Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni
Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?
Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli
Ushauri:Acasia iambieni serikali ichukue kontena moja randomly ilipeleke yenyewe nje kufanya process
Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!
Hizo nyuzi zote za nyumbu wasiolitakia mema taifa, wapinga maendeleo. Ndio maana huoni nikileta habari za Raila maana najua anapinga juhudi zote za Uhuru.