Wamekuwa wakilalamika sana kwenye media zao wakihoji why JPM visited other EAC countries but not Kenya??IMHO I don't think this is a right time for JPM to visit Kenya! Especially looking at the attitude demonstrated by Uhuru after losing a regional pipeline deal n recently on EPA! I wonder who advices JPM? That corrupt Uhuru will try to use the visit to garner more support towards the 2017 election!
Mtaskia news huku huku za vijiweni ambavyo tanzanian delegation was mistreatedWamekuwa wakilalamika sana kwenye media zao wakihoji why JPM visited other EAC countries but not Kenya??
Ndio anaenda sasa.
waswahili husema 'usiyempenda kaja'
I am thinking that will be the longest day for UK., na kumfukuza hawezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
na ww ni walewale
Huna wa kumtisha weye kombamwiko.....huna lolote!
Shoga mimi na MAMAKO! ....kumanina shetani pumbavu la kitanganyika!
Wamekuwa wakilalamika sana kwenye media zao wakihoji why JPM visited other EAC countries but not Kenya??
Ndio anaenda sasa.
waswahili husema 'usiyempenda kaja'
I am thinking that will be the longest day for UK., na kumfukuza hawezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Agenda zinazomleta ujaziona au kiburi? ?Duh basi Magu atakua na washauri feki kweli, kama wanaweza mshauri rais kusafiri na kutembelea nchi nyingine kisa watu wa huko wanalalamika kwanini hajatembea. Yaani hiyo ikulu yenu mnaichukulia vipi kweli, urais ni taasisi sio mtu binafsi. Hayo maamuzi yenu ya kukurupuka kibinafsi hayafai kabisa.
Kwetu tumezoea kabla rais asafiri, mahesabu yanapigwa na kutathmini umuhimu wa kila safari, nini tutanufaika kama taifa. Siku mtamwona Uhuru akitembelea Tanzania rasmi, patakua na mengi yetu sisi kunufaika, hatokuja tu ilmradi Watanzania wamshangae na kumshobokea.
Urais ni taasisi.....
Kuja kuomba msaada middle income naAgenda zinazomleta ujaziona au kiburi? ?
Next week utapata opposite utiiigame over, nitapenda kama akiwatolea nje issue ya working permit na Amina's AU candidacy! Yule mama hana caliber ya kupewa majukumu mazito namna hiyo considering anatoka puppet nation!
Mawazo mgando hayoKuja kuomba msaada middle income na
View attachment 426586
Acha uongo wewe "On the externally financed expenditure, we have received commitments from donors amounting to Ksh 410.6 billion (5.6 percent of GDP) in FY 2016/17" (18.15% of your budget). Nenda kaangalie 'summary' ya bajeti yenu.Kenya toka 2011 hatujapata msaada
just saying when your house is made of glass.........
Masudi Kipanya mbona anamchora Magu na hafanywi kitu, msijifanye kuwa mna uhuru zaidi wakati mnawaua akina Jacob Juma.Ama kweli nimecheka sana, hii katuni hapo Magu anafanya push up juu ya kila aina ya maovu. Huyu mchoraji Gado aishie tu Kenya siku zote na asithubutu kurudi kwao maana watampokea kwa vibao. Jamaa hananga uwoga aisei. MwendaOmo njoo uone anavyodhalilishwa rais Magu.
Masudi Kipanya mbona anamchora Magu na hafanywi kitu, msijifanye kuwa mna uhuru zaidi wakati mnawaua akina Jacob Juma.