Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #381
Tarime moja mkuuu.Mwenye kichuri tafadhali atupie hapa...😋
Umenikumbusha Singida. Hiki chakula nilikila kwa kulazimishwa tu, sikuwai kuyapenda mamumunya bora maboga kwa mbali.
hili tunda la mwisho nliwahi kwenda tanga maeneo ya maramba nikalila