Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #381
Jam ya matunda, maandazi, granola,mkate mkausho na mayai,tangawizi na vitunguu swaumu, mkate mayai na juisi ya Parachichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarime moja mkuuu.Mwenye kichuri tafadhali atupie hapa...😋
Umenikumbusha Singida. Hiki chakula nilikila kwa kulazimishwa tu, sikuwai kuyapenda mamumunya bora maboga kwa mbali.
hili tunda la mwisho nliwahi kwenda tanga maeneo ya maramba nikalila