Tanzanian traditional local foods

Makande nyama na viazi..nina hakika nyama hujaziona[emoji23]
 
Kumbikumbi, hii mboga kwa kilugha chenu mnaiitaje?
 
Supu ya Konokono..inasemekana ina vitamini A kwa wingi, madini chuma na calcium..vipi umeshawahi kuinywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…